Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili eneo la Mwanakwerekwe katika hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Juu (Flyover) ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi – Mwana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili eneo la Mwanakwerekwe katika hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Juu (Flyover) ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi – Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.