Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkapizi mfano wa hundi mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Qur’aani ndugu Abdulaaziz Ali Khamis kutoka Zanzibar aliyepata p
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkapizi mfano wa hundi mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Qur'aani ndugu Abdulaaziz Ali Khamis kutoka Zanzibar aliyepata pointi 99.5 na kujishindia shilingi milioni 30.Mashindano ya mwaka huu yameshirikisha washiriki kumi na moja (11) kutoka mataifa mbalimbali Duniani.