Media

UZINDUZI WA NYUMBA ZA MJI MPYA WA KWAHANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema ujenzi wa nyumba za Mji mpya wa Kwahani, umeakisi dhamira ya chama cha Afro Shirazi (ASP) katika kuwapatia…

Read More
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi kwa Wananchi wa

MKUTANO WA CCM CHWAKA.

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alisisitiza haja ya kumpa kura nyingi Dk. Mwinyi ili aendelee…

Read More

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA DK. JOHN POMBE MAGUFULI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wazee kuendelea kusimamia malezi ya watoto wao, wakati huu vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia vikiwa vimeshamiri…

Read More

Dk Shein amezindua kitabu cha Mwalimu bora wa Soka

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua kitabu cha “Mwalimu bora wa Soka’ na kusema kuwa kitabu hicho ni chuo kwa wachezaji wa mpira wa miguu…

Read More

Dk. Shein amewatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ na kuwapongeza kwa kufanikiwa katika mafunzo hayo.Dk. Shein aliwatunuku…

Read More

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM BUMBWINI.

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa uchaguzi ujao wa Zanzibar utaendeshwa kwa fedha…

Read More

KONGAMANO LA AMANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amesema juhudi za Serikali katika kuwahamasisha na kushirikiana na wananchi pamoja na Asasi mbali mbali kwa…

Read More

DK. SHEIN AMEAGWA SUZA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein , amelitaka Baraza la Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) kuendelea kushirikiana na kuongeza bidii na ubunifu katika kuiendeleza…

Read More