Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara wenye tamaa kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kuwa ni kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara wenye tamaa kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kuwa ni kisingizio cha kupandisha bei…
Read More