RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali na Waandishi, ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na Wahariri na Waandishi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali na Waandishi, ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari kila mwisho wa mwezi,mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.