RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Taifa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Taifa baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja kuhudhuria ufunguzi wa Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania.