RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amemuapisha Naibu Katibu Mkuu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Rashid Said Rashid kuwa Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mifumo ya teknolojia ya habari…

Read More

Dk.Hussein Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Z;bar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa…

Read More

UTEUZI

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Rais Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Mawaziri aliowatewa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuwaambia wananchi kazi imeanza na wategemee…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni  wake Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe Abdelilah Benryane alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

DK. MWINYI AMEZUNGUMZA NA BALOZI WA UFALME WA MOROCCO KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Zanzibar kukuza na kuimarisha uhusiano kati yake na Morocco hasa katika sekta ya utalii. Dk. Hussein…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wafanyabiashara  Ndogo Ndogo  katika Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi alipofanya ziara ya Kikazi kujuwa changamoto mbali mbali kwa Wafa

DK. MWINYI AMEZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA KIJANGWANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi kushirikiana na Uongozi wa Jiji la Zanzibar pamoja na wafanyabiashara,…

Read More

UTENGUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya Dk. Jamala Adam Talib na Mkurugenzi Mtendaji wa…

Read More