Mama Maryam Mwinyi ameihakikishia Finland kuwa iko tayari Kushirikiana nayo Kuhakikisha Malengo ya Kuwakomboa Wànawake na Watoto dhidi ya Vitendo vya Udhalilishaji

Mwenyekiti na Msarifu wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Maryam Mwinyi ameihakikishia Finland kuwa iko tayari Kushirikiana nayo Kuhakikisha Malengo ya Kuwakomboa Wànawake na…

Read More

Rais Mwinyi tutamuenzi Charles Hilary kwa utendaji wake uliotukuka.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza Viongozi mbalimbali na mamia ya Wananchi katika maziko ya Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi ametoa Mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Charles Martin Barnabas Hilary

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi ametoa Mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Charles Martin Barnabas Hilary, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi…

Read More