Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali kuendelea kuwa wabunifu katika kuandika habari na hasa zile zinazogusa maisha ya kila siku ya wananchi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali kuendelea kuwa wabunifu katika kuandika habari…
Read More