RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Husseinn Ali Mwinyi akizungumza na kumsalimia Mjane wa Marehemu Mwanamapinduzi Hafidh Suleiman. Bi.Mtumwa Hussein Farahan, alipofika nyu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Husseinn Ali Mwinyi akizungumza na kumsalimia Mjane wa Marehemu Mwanamapinduzi Hafidh Suleiman. Bi.Mtumwa Hussein Farahan, alipofika nyumbani kwa marehemu Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2024,kwa ajili ya kuwasalimia na kuwajulia hali familia