RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia na Marehemu Fatma Sharif Juma Mke wa Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Mwera Kidogo basi Wilaya ya Kati Unguja leo 27-4-2024, kwa ajili ya kutowa mkono wa pole