RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA 24 LA KIMATAIFA LA MAJI UKUMBI WA HOTELI YA VERDE ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la 24 la Kimataifa la Maji, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 25-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum na Mwenyekiti wa Bodi ya Water Net.Prof.Nnenesi Kgabi, baada ya kulifungua Kongamano la 24 la Kimataifa la Maji, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar 25-10-2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni na Bwejuu alipofanya ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi ya mendeleo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya Uongozi wake
Uwekaji wa Jime la Msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Unguja
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mhe.Mohamed Rajab alipokuwa akitoa salam za Chama Cha Mapinduzi wakati Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipofanya ziara katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi "A" kutembelea na kuweka jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Mtopepo iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katika gari) akizungumza na Wananchi wakati alipofika kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makaazi na Biashara zinazojengwa na Shirika la Nyumba Zanzibar katika maeneo ya Kwamchina Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli mbali mbali wakionesha picha zinazotoa ujumbe wa kumshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa kutoa nyongeza ya Pensheni ya Wazee wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makaazi na Biashara zinazojengwa na Shirika la Nyumba Zanzibar katika maeneo ya Kwamchina Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mhe.Mohamed Rajab alipokuwa akitoa salam za Chama Cha Mapinduzi wakati Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipofanya ziara katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi "A" kutembelea na kuweka jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Mtopepo iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwasalimia Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka Jiwe la msingi mradi wa Skuli ya Msingi Donge akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja 23-10-2023, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Mkoa huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi mbalimbali zilizotolewa na Wananchi wa Donge kwa ajili yake, akikabidhi na Bi. Fatma Saleh (Bi.Ukindu) baada ya kuzungumza na Wananchi wa Kijiji hicho na kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakati wa ziara yake leo 23-10-2023
WANANCHI wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwahutubia katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Donge, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 23-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia na kupiga makofi wakati Msahairi maarufu Zanzibar Ndg.Kassim Yussuf akisoma shairi wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
WANANCHI wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwahutubia katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Donge, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 23-10-2023
WANAFUNZI na Wananchi wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwahutubia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 23-10-2023.
WANANCHI wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwahutubia katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Donge, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 23-10-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mhandisi Abel Ben akitowa maelezo wa michoro ya ujenzi huo, wakati wa ziara yake na kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo leo 23-10-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhammed Mussa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2023, akiwa katika ziara yake katika Mkoa huo kutembelea Miradi ya Maendeleo
WANANCHI wa Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwahutubia katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Donge, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 23-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mhandisi Abel Ben akitowa maelezo wa michoro ya ujenzi huo, wakati wa ziara yake na kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo leo 23-10-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhammed Mussa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wakuu Vikosi vya Ulinzi na Usalama alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Msingi Donge Mkoa wa Kaskazani Unguja, akiwa katika ziara yake na kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi hiyo leo 23-10-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
Rais Wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amemtembelea Muandishi wa habari muandamizi Haji Ramadhan Suweid Hospitali ya mnazi mmoja na Wazee wa CCM Leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Muandishi wa Habari Muandamizi Mstaafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Kanda ya Zanzibar Ndg.Haji Ramadhan Suweid, alipofika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar jengo la Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake leo 13-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ya kumombea Muandishi wa Habari Muandamizi Mstafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ( ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Kanda ya Zanzibar Ndg.Haji Ramadhan Suweid, ikisomwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume, alipofika Hospitali ya Kuu ya Mnazi Mmoja jengo la Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake,13-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake 13-10-2023, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kuwatembelea Wazee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake leo 13-10-2023, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kuwatembelea Wazee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Tawi la Muembeshauri na Balozi No.2 Bi. Hiyari Miraji Othman, alipofika nyumbani kwake muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja leo.13-10-2023, kumjulia hali yake
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi azungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe.Theresa Ztting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 11-10-2023