Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,uliyofanyika leo 23-6-2025 katika ukumbi wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume baada ya kulihutubia na kulivunja Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 23-6-2025, katika ukumbi wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride rasmini la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, lililofanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima, wakati wa gwaride rasmin la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la kumi la Wawakilishi Zanzibar,lililofanyika leo 23-6-2025, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • GWARIDE Maalumu la Kikkosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya uvunjaji wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, gwaride hilo lililofanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Jijini Zanzibar leo 23-6-2025,wakitowa salamu ya heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi wakati Mheshimiwa rais alipokwenda kulihutubia Baraza la Wawakilishi leo tarehe 23 Juni, 2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelifungua Kongamano la kwanzalLa Kitaaluma la Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Heshima, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, akikabidhiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania Mhe.Deus Clement Sangu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Dkt.Haroun Ali Suleiman, (wakiwa kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya ufunguzi wa Kongamano hilo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025
  • WASHIRIKI wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni,Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viomgozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika leo 17-6-2025 katika ukumbi wa hoteli hiyo
  • Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wa Serikali ya Mapinduzi na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia kwa karibu hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni,Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-202
  • WASHIRIKI wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni,Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-202

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa ukanda wa Afrika Mashariki Mhe.Kate Osamor KJ

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mhe. Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mhe. Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 11-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025

Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Mwinyi amekutana na Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili kutoka China

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof.Song Li Juan, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, ukiongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof. Song Li Juan, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, ukiongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof. Song Li Juan, na (kulia kwa Rais) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Li.Quanghua, na Ikushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, ukiongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof. Song Li Juan, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amelihutubia Baraza la Eid Al-Adha katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Suza Tunguu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu kwa ajili ya kulihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi huo, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt.Haroun Ali Suleiman
  • GWARIDE Maalumu la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al-Adha wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tungui Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • MABALOZI Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid, lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, baada ya kumalizika kulihutubia Baraza la Eid Al-Adha,lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • WANANCHI wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Al-Adha, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Al-Adha lililofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu leo 7-6-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Kikao cha FFU, wakati wa Gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Al-Adha, lililofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025