State House Blog

Uzinduzi wa Sera mpya ya Mambo ya Nje Tanzania 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania, uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.19-5-2025
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Vitabu vya Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, baada ya kuzindua Sera hiyo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 19-5-2025
  • Rais wa jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaMama Samia Suluh Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika picha ya pamoja katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ya mwaka 2001, toleo jipya la mwaka 2024, katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Nyerere Dar es Saalam

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amefungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti na Sala ya Ijumaa Iliyofanyika hapo.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Dini ya Kiislamu alipowasili Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 16-5-2025 kwa ajili ya ufunguzi wa msikiti huo, na kujumuia na Wananchi katika Sala ya Ijumaa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislam wakati alipofika katika ufunguzi wa Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Fuoni Bwiti, baada ya kuufungua msikiti huo leo 16-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Fuoni Bwiti, baada ya kuufungua msikiti huo leo 16-5-2025
  • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini baada ya Sala ya Ijuma iliyofanyika katika Masjid Jibril baada ya kufunguliwa leo 16-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Msahafu na Sheikh Mohamed Omar Alsheikh Juda, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Juma amemuapisha Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, baada ya kumuapisha Kombo Hassan Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kombo Hassan Juma kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Maziko ya Marehemu Charles Hilary katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar 14-5-2025

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali Marehemu Charles Martin Hilary, maziko yaliyofanyika leo 14-5-2025 katika makaburi ya Mwanakwekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, yaliyofanyika leo 14-5-2025, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • MJANE wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali.Bi. Sara Mwakanjuki akiwa na Watoto wake wakiweka mchanga katika kaburi likiwa na mwili wa marehemu, wakati wa maziko hayo yaliyofanyika katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-5-2025
  • Mwili wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali.Bi.Sara Mwakajuki ukipelekwa kwenye kaburi lake hapo Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya maziko yaliyofanyika leo 14-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima ya mwinsho kwa Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, baada ya kuweka mchanga, n\maziko hayo yaliyofanyika leo 14-5-2025, katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi katika maziko ya Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugezi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar, yaliyofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-5-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria maziko ya Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali yaliyofanyika leo 14-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
  • MJANE wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali.Bi.Sara Mwakajuki akiwa na Watoto wake akiwasili katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja yaliyofanyika leo 14-5-2025
  • Jeneza la Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ukishushwa katika kaburi lake alilozikwa hapo katika Makajuki ya ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja yaliyofanyika leo 14-5-2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, akikabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, akikabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt. Othman Abass Ali, kabla ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha, 2023/2024, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, akikabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt. Othman Abass Ali (kushoto) baada ya hafla ya kukabidhi Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025