Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resotr &Spa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort &SPA; Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Jesus Alfredo Otri na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort & SPA Matemwe Bw.Jesus Alfredo Otri, akitowa maelezo ya Mradi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi,ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la mradi huo Matemwe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort & SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na(kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Jesus Alfredo Otri, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake kutokea kuingia madarakani.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussin Ali Mwinyi azindua Miradi ya Maendeleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels & Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Bw.Raul Gantes wakiondoa kiupazia, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Nungwi, ikiwa ni shamrashamra za kutimiza Mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels & Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Bw.Raul Gantes wakiondoa kiupazia, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Nungwi, ikiwa ni shamra shamra za kutimiza Mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi.Ikiwa ni shamra shamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots; Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resorts; Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Raul Gantes.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmikili wa Mradi wa Hoteli ya Kitaii ya Riu Hotels &Resorts; Bw. Raul Gantes akitowa maelezo ya michoro ya picha ya ujenzi wa hoteli hiyo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmikili wa Mradi wa Hoteli ya Kitaii ya Riu Hotels &Resorts; Bw. Raul Gantes akitowa maelezo ya michoro ya picha ya ujenzi wa hoteli hiyo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resorts; Nungwi (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe Mudrik Soraga na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw.Raul Gantes, shamrashamra za kutimiza Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residen.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,ikiwa ni shamra shamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza.Bw.Yusuf Ezzi akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Mradi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamra shamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya mradi huo Bweleo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (hawapo pichan) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo.Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kutimia mwaka mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza.Bw.Yusuf Ezzi akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Mradi wa Nyumba za Makaazi za Blue Ocean Residency Bweleo, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamra shamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya mradi huo Bweleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo.(kushoto) Uongozi wa Mradi huo, ikiwa ni shamra shamra za Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo huko Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Mradi wa Blue Ocean Residency Bweleo Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwakilishi wa Unicef anayefanyika kazi zake Ofisi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa UNICEF anayefanyia kazi zake Ofisi ya Zanzibar Bi.Laxmi Bhawani baada ya kumkabidhi Jarida la UNICEF linalozungumzia Maliza Ukatili na Udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Zanzibar,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la UNICEF likiwa na ujumbe wa ‘Maliza Ukatili na Udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Zanzibar na Mwakilishi wa UNICEF wa Ofisi ya Zanzibar Bi. Laxmi Bhawaniwakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la UNICEF likiwa na ujumbe wa ‘Maliza Ukatili na Udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Zanzibar na Mwakilishi wa UNICEF wa Ofisi ya Zanzibar Bi. Laxmi Bhawani, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Ofisi ya Zanzibar.Bi. Laxmi Bhawani.mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Ofisi ya Zanzibar.Bi. Laxmi Bhawani.mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateua hivi Karibuni hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Muumin Khamis Kombo kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
WAHESHIMIWA Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Mwanasheria Mkuu na Naibu Mwanasheria, wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Salma Ali Hassan kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Bi.Salma Ali Hassan akiapa kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka,akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha. Bi.Mwanamkaa Abdulrahaman Mohammed kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-10-2021.
Bi.Mwanamkaa Abdulrahaman Mohammed kiapa kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika leo 30-10-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kushoto) Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mwanasheria Mkuu Dkt.Mwinyi Talib Haji, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Mwanasheria Mkuu na Naibu Mwanasheria Mkuu.
BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wanafamilia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu na Mkurugenzi wa Mashtaka na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MHE Muumin Khamis Kombo akiapishwa kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.