Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi amewasili Mkoani Geita Chato.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato leo 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali wa Serikali Uwanja wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Wilaya ya Chato Mkoani Geita, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbikizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Namibia Nchini.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana kwa Mazungumzo na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ahamada El Badoi Mohamed Fakih wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Hus sein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt.Ahamada El Badoi Mohamed Fakih alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt.Ahamada El Badoi Mohamed Fakih baada ya mazungumzo yao aliyofanyika Ikulu jijini Zanzibar.

Mapokezi ya Ndege Mpya za Shirika la Ndege Tanzania ATC.

  • Ndege 2 za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) zikimwagiwa maji kama ishara ya kupata baraka zilipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana wasaidizi wake baada ya kumalizika kwa hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Wahudumu wa Ndege 2 Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakiwa wameshikilia wauwa wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Wahudumu wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Marubani wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Wahudumu wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akishuhudia Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Hussein Othman Katanga (kulia) na Katibu Mkuu Uchukuzi Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na mawasiliano Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gabriel Migire wakikabidhiana hati wakati mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmin na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) pamoja na Waziri wa ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Maka me Mnyaa Mbarawa wakiangalia Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibarzilizowasili leo,ambapo Viongozi mbali mbali wa Serikali wamehudhuria akiwepo na Waziri Mkuu wa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa.

Riais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki swala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh. Saleh Omar Kabi na Naibu Mufti wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizia hafla ya ufunguzi wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 8-10-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kukata utepe kuufungua rasmin leo 8-10-2021, na kujumuima na Wauminin wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa nasaha zake kwa Waislamu na Viongozi mbali mbali mara baada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo.
  • Waumini wa Kiislamu wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi uliofunguliwa leo na Rais waq Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa kamati ya Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipowasili kuifungua Masjid hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi mara baada ya kuufungua Msikiti Masjid Tawba uliopo Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiufungua mlango wa Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo.