State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshikiki kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilayani Chato Mkoani Geita

  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi wakifuatilia Vijana wa Halaiki wakionesha maumbo mbalimbali,wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato.
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama, akizungumzawaka ti wa hafla ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita na (kushoto) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mjane wa Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Mama Maria Nyerere
  • VIJANA wa Halaiki kutoka Mkoa wa Geita wakionesha onesho la Mlima Kilimanjaro ukiwa na Mwenge wa Uhuru ukimurika katika mipaka yote ya Tanzania, wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na kumbukizi za Kifo cha Baba wa Taifa Marehemu Mwalimu Julius Nyerere na Wiki ya Vijana.hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato
  • BAADHI ya Viongozi wa Dini na Wananchi wakifuatilia Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita leo 14-10-2021, mgeni rasmin akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutumia katika hafla hiyo ya Kilele ya Mbio za Mwenye wa Uhuru Kitaifa Mkoani Geita.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita na (kushoto) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mjane wa Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Mama Maria Nyerere.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi wa Kitaifa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiikristo Chato na Viongozi mbali mbali wa Serikali baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi mbali mbali,iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita, iliongozwa na Baba Askofu Muhashamu Seveline Niwemgizi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakifuatilia Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi wa Kitaifa iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato, iliongozwa na Baba Askofu Mhashamu Seveline Niwemgizi
  • BABA Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki Ngara Seveline Niwemgizi (katikati) akiwa na baadhi ya Maaskofu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiikristo Geita baada ya kumalizika kwa Ibada na Misa Maalum ya kuwaombea Viongozi iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita.
  • BABA Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki la Ngara Askofu Seveline Niwemgizi akiongoza Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi iliofanyika katika Kanisi la Mtakatifu Bikira Maria Chato.
  • MJANE wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Mama Maria Nyerere akishiriki katika Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi wa Kitaifa iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato.
  • WAUMINI wa Dini ya Kikiristo Mkoani Geita wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada maalum ya kuwaombea Viongozi iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiikristo Chato na Viongozi mbalimbali wa Serikali baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi mbali mbali,iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita, iliongozwa na Baba Askofu Muhashamu Seveline Niwemgizi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Maonesho ya Wiki ya Vijana na kuzuru Kaburi la Marehemu John Pombe Magufuli

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa salamu za heshima baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli alipofika nyumbani kwa marehemu Chato kusalimia familia ya marehemu na (kushoto) Mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli,alipofika nyumbani kwa marehemu kusalimia familia ya marehemu Chato na (kushoto) Mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Chato Mkoani Geita katika viwanja vya Mazaina,baada ya kutembelea maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.
  • WANANCHI wa Chato Mkoani Geita wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia katika viwanja vya mazaina Chato,baada ya kutembelea Maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.
  • WASANII wa Kikundi cha Taraab cha Wajelajela wakitowa burudani katika viwanja vya Mazaina Chato wakati wa maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndg. Yussuf Juma akitowa maelezo ya bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na Mabaraza ya Vijana Zanzibar,wakati alipotembelea banda lao katika maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja vya Mazaina Chato Mkoani Geita.
  • WANANCHI wa Chato Mkoani Geita wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayuko pichani) akiwahutubia katika viwanja vya Mazaina Chato baada ya kutembelea Maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.ikiwa ni shamrashamra za Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru na Kumbukizi wa Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama, wakimsikiliza Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kanda Chato Dr.Marygoreth Changaluda alipotembelea alipotembelea mabanda ya Maonesho ya Wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Mazaina Chato.

Rais wa Zanzibar Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi amewasili Mkoani Geita Chato.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato leo 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali wa Serikali Uwanja wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Wilaya ya Chato Mkoani Geita, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbikizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Namibia Nchini.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.