Ikulu Blog

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMETANGAZA MAWAZIRI KATIKA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

  • Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Serikali na Binafsi wakiwa katika  ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar  wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika WizaWaandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Serikali na Binafsi wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wiza
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi  Zanzibar  ni Miongoni mwa   Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa  majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar ni Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa  majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Wafanya Biashara wa Kijangwani Zanzibar

  • Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatibu Hassan (katikati) alipokuwa akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhusu Mradi wa katika Eneo la Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini kabla Rais, kuzungumza na Wajasiriamali wadogo wadogo katika Soko hilo leo akiwa katika ziara ya Kikazi kujuwa Changamoto mbali mbali zinazowakabili Wafanyabiashara hao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatib Hassan wakati alipowasili katika Soko la Wajasiriamali wadogo wadogo Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo Changamoto mbali mbali zinazowakabili
  • Baadhi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao na kuwataka kuwana subira wafanyiwe maamuzi sahihi ya kupatiwa Eneo jengine la kufanyika Biashara zao kwa uhakika,aliyasema hayo leo katika soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wafanyabiashara Ndogo Ndogo katika Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofanya ziara ya Kikazi kujuwa changamoto mbali mbali kwa Wafanaybishara hao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatib Hassan wakati alipowasili katika Soko la Wajasiriamali wadogo wadogo Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo Changamoto mbali mbali zinazowakabili
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wajasiriamali wadogo wadogo katika Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofanya ziara ya kujuwa Changamoto mbali mbali zinazowakabili wafanyabiashara hao

RAIS WA TANZANIA MHE, JOHN MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI MKUU IKULU CHAMWINI DODOMA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza  na kubadilisha mawazo  ( Kulia kwake ) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa  na (kushoto kwake ) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassam Majaliwa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi  akiwa na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakielekea katika sehemu ilioandaliwa kwa ajili ya tafrija maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino baada ya kumalizika kwa hafla kuapishwa Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli  akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwa katika viwanja vya IKulu Chamwino Dodoma leo baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu wa Tanzania.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutoa nasaha zake wakati wa hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma
  • BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutoa wakati wa hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma
  • BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma
  • BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma
  • BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri  Mkuu wa Jamuhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa, hafla hiyom imefanyika  katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma
  • WAZIRI Mkuu Mteuli Mhe Kassim Majaliwa akiwa na Mawaziri wateulie wa Fedha na Mipango na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakiwa ckatika viwanja vya Ikulu Chamwino wakisunbiri kuapishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli  katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Dodoma
  • WAZIRI Mkuu Mteuli Mhe Kassim Majaliwa akiwa na Mawaziri wateulie wa Fedha na Mipango na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakiwa ckatika viwanja vya Ikulu Chamwino wakisunbiri kuapishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli  katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Dodoma
  • BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kulia kwake) Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma, wakifuatilia hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwini Dodoma
  • VIONGOZI  wa Vyama vya Siasa Tanzina  wakifuatilia hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma

DKT. JOHN MAGUFULI AMELIZINDUA LEO BUNGE LA 12 JIJINI DODOMA

  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma
  • Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma leo baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa Bunge la 12 na (kulia kwa Dk.Magufuli ) Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi na (kushoto kwa Dd. Mwinyi) Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Seleiman Abdulla na Naibi Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Akcson, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akulihutubia na kulizindua
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na (kulia kwake) Mama Mary Majaliwa na na (kushoto kwake) Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Siti Mwinyi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania likizinduliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma
  • WAGENI waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge hilo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa hafla ya Uzinduzi wake uliofanyika
  • MARAIS Wastaaf wa Tanzania kutoka kushoto Rais Mstaaf wa Awamu wa Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne Mhe Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe. John Malecela na Makamu wa Rais Mstaaf Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakihudhuria hafla ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akilihutibia leo Jijini Dodoma.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa hafla ya Uzinduzi wake uliofanyika leo, 13/11/2020 katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma

Dk.Mwinyi amewasili Dodoma kuhudhuria ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano Tanzania

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge, alipowasili Uwanja ndege wa Dodoma leo jioni 12/11/2020, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho 13/11/2020