State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa NBC

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania Nd.Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Timu ya Mlandege wakabidhiwa Fedha.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na wafanyabiashara na Viongozi wa Timu ya Mpira ya Mlandege leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla ya kukadidhiwa fedha Timu ya Mpira ya Mlandege inayotarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na wafanyabiashara na Viongozi wa Timu ya Mpira ya Mlandege leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla ya kukadidhiwa fedha Timu ya Mpira ya Mlandege inayotarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimkabidhi fedha tasilim za KitanzaniaMillioni Thalathini na Tano Mwenyekiti wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Mlandege Nd.Ali Khatib Dai,ambapo Timu hiyo inatarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia .

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.

  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na WMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na W
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati wakiimba Wimbo wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM muda mfupi kabla ya kuanza kuongozaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati wakiimba Wimbo wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM muda mfupi kabla ya kuanza kuongoza
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati wakiimba Wimbo wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM muda mfupi kabla ya kuanza kuongozaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati wakiimba Wimbo wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM muda mfupi kabla ya kuanza kuongoza
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar  Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili katika ukumbiMWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili katika ukumbi
  • WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)
  • WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa, wakiwa katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu wakipitia makabraWAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa, wakiwa katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu wakipitia makabra
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na (kulia kwa  Dk Shein) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa amMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na (kulia kwa Dk Shein) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa am

DK HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA DAWOODI BOHRA JAMAAT TANZANIA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat  Dar es Salaam Sheikh.Tayabali Hamza Bhai Patanwalla, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo  na kumpongeza,hafla hiyo imefanyika leo 23/11/2020 na kulia Ndg.Murtaza Ali Bhai
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Jamaat.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Jamaat.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Jamaat, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 23/11/2020 kwa mazungumzo na kumpongeza,(kushoto kwa Rais) Ndg. Javed Jafferji ,Sheikh.Habibulla N.Jivajee na Sheikh. Muffadal Imad..(
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa hati ya kumpongeza na Viongozi wa Bohra Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat  Dar es Salaam Sheikh. Tayabali Hamza Bhai Patanwalla akiwa na Mwakilishi wa Dawoodi Bohra Jamaat Zanzibar Sheikh.Muffadal Imadi,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.23/11/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Jamaat, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat  Dar es Salaam Sheikh Tayabali Hamza Bhai Patanwalla (kulia kwa Rais) na Ndg.Murtza Ali Bhai na Ndg. Nuruddin Bhai Katibu wa Jumuiya hiyo Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat Dar es Dalaam Sheikh Tayabali Hamza Bhai Patanwalla wakimsikiliza Ndg.Murtaza Ali Bhai akiwasilisha taarifa ya kumpongeza wakati walipofika IKulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu  Zanzibar 23/11/2020

Rais Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Mawaziri aliowateua Ikulu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya  Rais, Katiba Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Tabia Mwita Maulid kuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Lela Mohamed Mussa kuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Rahma Kassim Ali kuwa Waziri wa  Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Abdalla Hussein Kombo kuwa Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dk.Soud Nahoda Hassan  kuwa Waziri wa Kilimo,Umwagiliaj,Maliasili na Mifugo katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Simai Mohamed Said  kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali   katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Riziki Pembe Juma kuwa Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Masoud Ali Mohamed  kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dk.Khalid Salum Mohamed kuwa Waziri  Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jamal Kassim Ali kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango  katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Baadhi ya Viongozi walioalikwa katika Hafla ya kuapishwa kwa Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Awamu ya nane lililoapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na uwekezaji.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na uwekezaji.
  • Baadhi ya Viongozi katika Idara mbali mbali za Serikali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nane katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[
  • Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nane katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar