Ikulu Blog

Dk.Shein amewatunuku wahitimu wa Mahafali ya 15 Chuo cha Taifa Zanzibar Suza.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuki Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili Bi. Mwanahija Ali Juma, wakati wa Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubiwa wakati wa hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa Kike Ngazi ya Shahada ya Kwanza ya Jiografia na Taaluma ya Mazingira. Aisha Omar Makame.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubiwa wakati wa hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Wahitimu Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar ( SUZA) wakati wa Mahafali ya 15 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof. Joyce Ndalichako.
  • WAHITIMU wa Shahada ya Kawaida ya Uongozi wa Fedha na Uhasibu wakifurahia wakati wakitunukia Cheti na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wajkati wa hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika maandamano na Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dkt. Zakia Mohamed Abubakar, wakielekea katika ukumbi wa mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Prof.Joyce Ndalichako (katikati) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja kuhudhuria hafla ya Mahafali ya 15 ya SUZA na kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt.Idrisa Muslim Hijja.
  • WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano la Mahafali ya 15 ya SUZA wakielekea katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania na kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma wakiwa katika maandamano wakielekea katika ukumbi wa Mahafali ya 15 ya SUZA yaliofanyika katika Ukumbiu wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.(

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na haki za Binaadamu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Tunzo Maalum ya Kusimamia na Muazilishi wa Utawala Bora Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa hafla ya Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu na Utawala Bora lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Haki za Binadamu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia (hayupo picha) katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo picha ) akihutubia katika hafla ya ufunguzi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Washauri wa Rais wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo picha ) akifungua Kongamano hilo
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo picha ) akifungua Kongamano hilo
  • BAADHI ya Mawaziri wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo picha ) akihutubia katika hafla ya ufunguzi uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo picha ) akifungua Kongamano hilo

Dk.Shein amefungua Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia moja ya bidhaa za Wajasiriamali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe Goerge Simbachawene na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu.
  • BAADHI ya Watanzania wanaoishi Ughaibuni Diaspora wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Ma;pinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed akihutubia hafkla hiyo (hayupo pichani) ufunguzi huo.
  • BAADHI ya Watanzania wanaoishi Ughaibuni Diaspora wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar(hayupo pichani)
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein,kuhutubia na kulifungua
  • MWENYEKITI wa (Tanzania Global Diaspora Council (TDC GLOBAL) Ndg,Norman Jasson akitowa Salamu za Wanadiaspora wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbiu wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, walililowashirikia Watanzania Wanaoishi Ughaibu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania.

Dk.Shein amezungumza na Katibu wa Kamati kuu ya Uongozi wa Chama Kikomunisti cha Vietnam Ikulu ZNZ

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe alioongazana nao Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe.Pham Minh Chinh, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe. Pham Minh Chinh, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa maelezo ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) kwa Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe.Pham Minh Chinh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ujumbe aliofuatana nao

Rais wa Zanzibar amezindua Boti mpya ya kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro vii.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilinjaro Fast Ferries na Azm Marine.Ndg.Said Salim Bakheressa, alipowasili katika viwanja vyaHoteli ya Verde Mtoni Zanzibar akihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kilimanjaro VII, uliofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizindua Boti Mpya ya Kisasa ya Kilimanjaro VII, ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferreis na Azam Marine Ndg. Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa wakishuhudia uzinduzi huo wa Boti hiyo uliofanyika katika eneo la Hoteli Verde Mtoni Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia kwa Rais) wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII,baada ya uzinduzi wake uliofanyika 27-11-2019, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimsikiliza, Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azma Marine.Ndg. Said Salim Bakhressa wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII baada ya kuizindua leo katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar,(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makamupuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makamupuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said Salim Bakhressa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma.Mhe Haroun Ali Suleiman na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama.Ndg. Mohammed Rajab Soud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe. Omar Othman Makungu.