State House Blog

Dk.Shein amezungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Faragha.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais
  • Baadhi ya Wafayakazi wakimsikilira Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha, leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipowaaga rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais

Mkutano wa Kampeni za CCM Dole Magharibi “A” Unguja.

  • Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama wakiwa katika katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Vijana wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama wakinyoosha Mikono Juu kuunga mkono Sera za Chama katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akihutubia na kumnadi Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Wabunge.Wawakilishi na Madiwani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Wilaya ya Dimani na Mfenesini Kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A".
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwanadi Wagombea wa Ubunge. Uwakilishi na Madiwani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Wilaya ya Dimani na Mfenesini Kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A".
  • Mgombeas Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akinadi sera za chama na Ilani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo aliahidi mambo mbali mbali ikiwemo Ajira kwa Vijana,
  • Mgombeas Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akinadi sera za chama na Ilani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo aliahidi mambo mbali mbali ikiwemo Ajira kwa Vijana,
  • Mgombeas Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akinadi sera za chama na Ilani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo aliahidi mambo mbali mbali ikiwemo Ajira kwa Vijana,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akihutubia na kumnadi Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Wabunge. Wawakilishi na Madiwani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Wilaya

Sherehe za Mafanikio ya Miaka 10 ya Uongozi wa Dk.Shein.

  • KATIBU Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee alipokuwa akizungumzia mafanikio kwa miaka 10 ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe maalum iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivalishwa Nishani ya Uuguzi na Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi Bi Amina Abdulkadir katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Baadhi ya maofisa wa taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Hai Ussi (GAVU) katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Baadhi ya zawadi mbali mbali zilizoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Washauri wa Rais wa Zanzibar wakishuhudia shamra shamra na matukio mbali mbali katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Maofisa wakiwa katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Wakurugenzi na Maofisa katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi IKULU wakiwa katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Baadhi ya maofisa wa taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati Mhe.Salama Aboud Talib katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Amina Salum Ali katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya kusisimua katika hafla ya sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar

Mkutano wa Kampeni za CCM Kiwani Kusini Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk.Husseio Ali Hassan Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea huko Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakiwa katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Skuli ya Tasini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,uliowanadi wagombea nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar, Ubunge,Uwakilishi na Diwani.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk.Husseio Ali Hassan Mwinyi (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kusini Pemba wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakiwa katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Skuli ya Tasini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,uliowanadi wagombea nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar, Ubunge,Uwakilishi na Diwani.
  • Wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zilizofanyika leo Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Kiwani Wilaya ya Mkoani katika mkutMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Kiwani Wilaya ya Mkoani katika mkut

Ufunguzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Rais na MBLM-Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Waalikwa mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba kwa ajili ya kulifungua rasmin leo(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hamed Suleiman.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifungua pazia kama ishara ya kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(kushoto kwa Rais ) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU)hafla ya sherehe ilifanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika l
  • Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba wakiwa patika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akitoa Hutuba yake katika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika leo mbele ya Jengo hilo
  • Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba wakiwa patika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akipata Maelezo kutoka kwa Mhandisi msaidizi wa Ujenzi Said Malik Said (kulia) mara baada ya ufunguzia wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU)hafla ya sherehe ilifanyika
  • Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake mara bağdaya ufunguzi uliofanyika