Dk.Shein azungumza na Wazee wa Wilaya ya Dimani Kichama.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama Ndg.Hussein Ali Mgema (Kimti) kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar. Dr, Abdalla Juma Sadala, wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani kwa ajili ya mkutano wake na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Dimani
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwasalimia Wananchi wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaniu Zanzibar 17-11-2019 kuzungumza na Wazee wa Wilaya ya Dimani Kichama.
KATIBU wa CCM Wilaya ya Dimani Ndg.Yussuf Ramadhani Abdalla akiwasilisha Taarifa fupi ya Wazee wa CCM, wakati wa mkutano wao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjiniu Amani
WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Kichama wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uyliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar
BAADHI ya Washauri wa Rais wa Zanzibar na Viongozi wa CCM na Wazee wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi akizungumza wakati wa hafla ya mkutano na Wazee wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Taarifa ya Wazee wa Wilaya ya Dimani Kichana na Katibu wa CCM Wilaya ya Dimani Ndg. Yussuf Ramadhani Abdalla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi wakati wa hafla ya mkutano wake na Wazee uliofanyika 17-11-2019 katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mjini patika mkutano wa ndani akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wazee wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama katika mkutano wake uliofanyika leo,17-11-2019.katika ukumbi wa Afisi ya CCM Wilaya ya Mjini.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mjini patika mkutano wa ndani akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa.
Dk.Shein amezungumza na Wazee waCCM Wilaya ya Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwaangalia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Chama mara alipowasili katika viwanja Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa Amani wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama na Viongozi wa CCM cha wakati alipohudhuria katika mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani Kichama Juma Khamis Haji alipokuwa akitoa salamu zake na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika Mkutano wa ndani uliofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la apinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alioufanya na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika mkutano na Wazee hao, uliofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika mkutano na Wazee hao, uliofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati alipofanya Mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake alipofanya mkutano wa ndani na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi ya Chama Mkoa Amani
Dk.Shei amehudhuria Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad S.A.W viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa `akikabidhiwa Qasweeda ya Mwaka na Mshauri wa Jumuiya ya Malade Nabii Zanzibar Sheikh. Sherali Champsi, wakati wa hafla ya kuadhimisha Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W.yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja kushoto kwa Rais (Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khamis Haji Khamis na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Wadi akipiga fatha kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiitikia dua ikisoma na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Mahmoud Wadi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibare Sheikh Khamis Haji Khamis na Waziri swa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe Mohammed Ramia Abdulwawa, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ua Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyiuka katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
SHEIKH Abubakar Said Abubakar kutoka Mji Mkongwe Wilaya ya Mjini Unguja akisoma Dua ya Barzanji wakati wa hafla ya Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
MKE wa Rais wa Zanzibaer Mama Mwanamwema Shein akiidikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja kulia kwa Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma na kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Marine Thomas Joe. Wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
SHEIKH Hassan Ali Kombo kutoka Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar, akisoma Khutba ya wakati wa sherehe ya kuadhimisha Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W.yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khamis Haji Khamis Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe. Mohammed Ramia Abdulwawa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghjaribi Unguja.Mhe. Hassan Khatib Hassan, Waziri wa Vijana Michezo Sanaa na Utamaduni Mhe. Balozi Ali Karume na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Wadi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika kisimamo cha kumsalia Mtume Muhammad.(S.A.W) Qiyaam.
MSHAURI Mkuu wa Maulid ya (Milade Nabii Association –Zanzibar) Sheikh Sherali Champsi akitowa histora ya Jumuiya ya Malade Nabii Association, wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Kuadhimisha Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WANAFUNZi wa Madrasa Munawara ya kutoka Shauri Moyo Wilaya ya Mjini Unguja wakisoma Qasweeda wakati wa hafla ya Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
WANAFUNZI Jumuiya ya Maulid ya Homu ya Mtendeni Unguja wakisoma Maulid ya Homu wakati wa sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
Dk.Shein amezungumza na Wafanyakazi wa Zbc,Redio.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar alipowasili katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar katika mkutano na Wafanyakazi wa ZBC Redio uliofanyika
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee alipokuwa akitoa ufafanuzi na majibu ya masuala mbali mbali yaliyoulizwa katika mkutano wa Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Redio na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katila ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Mtangazji wa Habari wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio Khadija Ali Hassan alipokuwa akiuliza suala wakati wa Wafanyakazi wa Shirika hilo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio wakiwa katika mkutano chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio wakiwa katika mkutano chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud Thabit Kombo
Uzinduzi wa Vitambulisho Vipya vya Kieletroniki (SMART CARDS)
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi rasmi wa vitambulisho vipya wa Kieletroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar Mkaazi uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake Uzinduzi wa Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi katika hafla ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi Mama Mwanamwema Shein mara baada ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir wakati wa hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohamed Gharib Bilali mara baada ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akionesha kitambulisho chake kipya cha Kielektriniki (SMART CARDS) mara baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wananchi wa waliohudhuria katika ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho vipya vya Kielektroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar Mkaazi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar chini ya usimamizi wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia mfano wa Kitambulisho chake kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi wakati wa Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar chini ya usimamizi wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar