RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEONGOZA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA KISOMO NA DUA YA KUMUOMBEA MAREMEMU SHEIKH ABEID AMANI KARUME LEO.
SHEIKH.Jaffar Abdalla Ramadhan akihitimisha kisoma cha Hitma na dua, ya kumuombea Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2023.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume,iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-4-2023 na (kulia kwa Mufti) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj.Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Mufti Mkuu ) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa.
BAADHI ya Wananchi waliohudhuria kisoma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, wakiitia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) kisomo hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
MAMU Mkuu wa Msikiti wa kwa Mtoro Dar es Salaam Sheikh. Abass Ramadhan akitowa mawaidha wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, baada ya kumalizika kwa dua na kisomo cha hitma cha kumuombea marehemu kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-4-2-23
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume iliyofanyika leo 7-4-2023,katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na ((kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEUFUNGUA JENGO LA MSJID AL -JUMAA DUNGA KIEMBENI WILAYA YA KATI UNGUJA NA KUJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 7-4-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni, baada ya kuufungua leo 7-4-2023 na kujumuika na Wananchi wa Dunga katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na kujumuika na Wananchi wa Dunga katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 7-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Dunga Kiembeni Sheikh. Khamis Mabrouk Abdalla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
MUONEKANI wa Jengo jipya la Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni uliofunguliwa leo 7-4-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi, na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya kufungulia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 7-4-2023
Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Zanzibar.
Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe.Shang Shisceng akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Balozi Ali Abeid Karume kwa niamba ya Familia ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,akiweka shada la mauwa baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Philip Mpango (katikati) Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman (kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe Amani Abeid Karume(wa pili kushoto) na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe. Shang Shisceng (kushoto) wakiwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakati kumuombea dua,hafla iliyofanyika Leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziar.
Wake wa Viongozi wakiongozwa na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanziar Mama Fatma Karume(katikati) wakiwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakati wa kumuombea dua,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziar
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Wake wa Viongozi wakiwa katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Akinamama kutoka Shehia mbali mbali za Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika kisomo cha w dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume hafla iliyofanyika
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar , yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said na Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad Sheikh. Othman Maalim.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Masjid Noor Muhammed kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kualizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Masjid Noor Muhammed kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kualizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Sheikh.Othman Maalim
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, wakati washiriki wa mashindano hayo wakisoma Quran, mashindano hayo yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzxibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh.Said Nassor Said
JAJI Kiongozi wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar akitowa maelezo kwa washiriki wa mashindano hayo kabla ya kuaza, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar
MSHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar.Ustadh Hamad Juma Salum, akishiriki katika mashindano hayo na kuibuka mshindi wa kwanza, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar
WASHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi Majlisil Quran Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.Mhe David Concar , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.Mhe David Concar , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.Mhe David Concar , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2023