State House Blog

JIWE LA MSINGI SOKO LA MWANAKWEREKWE

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine, mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ametembelea Soko hilo la Mwanakwerekwe na kuangalia maendeleo ya Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed katika uwekaji wa jiwe la msingi Soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakishangilia na Kumpongeza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika uwanja wa soko la Mwanakwerekwe baada ya kuweka jiwe la msingi leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akipata maelezo kutoka kwa Meneja Shadya Fauziy Mohamed wakati alipokuwa akiangalia michoro ya Soko la Mwanakwerekwe leo alipoweka jiwe la Msingu Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na wananchi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, akifuatana na Mkewe Rais Mama Mariam Mwinyi (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto).

MATEMBEZI NA MAZOEZI YA VIUNGO

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wanamichezo baada ya matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

  • Vikundi mbali mbali vya mazoezi ya Viungo wakinyoosha na kupasha mwili mara baada ya matemezi yalioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Vijana wa Vikundi mbali mbali wakipita kumsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na Viongozi wengine katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakiwapungia mikono wanamichezo wa vikundi mbali mbali wakipita mbele ya Jukwaa la VIP kwa maandamano wakimalizia matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi sambamba na Mazoezi ya Viungo ,katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akiwepo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla (kulia) wakifanya mazoezi ya Viungo katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akiongoza matembezi sambamba na Mazoezi ya Viungo yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akiwepo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla (kulia) wakifanya mazoezi ya Viungo katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo, baada ya kumaliza matembezi yaliyoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg.Said Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo Zanzibar, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais).Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa ZABESA Ndg. Said Suleiman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla

  • WANANCHI wa mitaa ya Amani Unguja wakimsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati akiongoza matembezi ya Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024.
  • MWANANCHI wa mtaa wa mikunguni Unguja akiwa amembeba mtoto wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , akiongoza Wanamichezo katika Tamasha la Kitaifa la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Michezani Square Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi wakati wakipita katika mitaa ya barabara ya muembemimba, wakiwa katika Tamasha maalum la matembezi na mazoezi ya viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA MABASI KIJANGWANI ,IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 31-12-2023 katika viwanja vya Mradi huo kijangwani
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Kampuni ya M+M Architects Co.Ltd Ismail Burhani Mvungi, akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo leo 31-12-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mwendeshaji wa (ZSSF) Ndg. Nassor Shaban
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Mabasi Kijanwani Wilaya ya Mjini Unguja leo 31-12-2023 na (kushoto kwake) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Kampuni ya M+M Architects Co.Ltd Ismail Burhani Mvungi, akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo leo 31-12-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mwendeshaji wa (ZSSF) Ndg. Nassor Shaban
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 31-12-2023 katika viwanja vya Mradi huo kijangwani

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 30-12-2023, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

  • VIJANA wa Sarakasi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika 30-12-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa viwanja vya michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar (ZSSF) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipuriza kifirimbi kuazisha mchezo wa kirafiki wa Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kati ya Timu ya Karume Boys U-15 na Timu ya ZSSF,mchezo uliofanyika baada ya kufunguliwa kwa Uwanja huo leo 30-12-2023, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Ndg.Nassor Shaban,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir (Mrembo) wakifuatili mchezo huo wa ufunguzi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 30-12-2023

Ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa Funguo Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika hafla ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir (kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi kikombe Nahodha wa Timu ya Karume Boys Ashraf Ali Othman, baada ya ushindi na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Ufunguzi wa Vyanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Karume Boys baada ya ushindi wa bao 1-0 na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Ufunguzi wa Vyanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt .Juma Akili Malik,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed (Dimwa),Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir
  • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipuliza filimbi kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Kiwanja cha Mipira cha Matumbaku wakati wa Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum, (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum wakifungua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni leo ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar