Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh.Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wa Baraza la Eid El Fitry
lililofanyika katika ukumbi huo.