Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Mpango wa Kitaifa wa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii Zanzibar Viwanja vya Maisara Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uliofanyika leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa D-Tree International Bw. Recardo Rampaliele, alipowasili katika jukwaa kuu la Viongozi kwa ajili ya uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, Mkurugenzi Mkaazi wa UNICEF Nchini Bi.Eike Wisch, baada ya uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023
WAHUDUMU wa Afya ya Jamii Zanzibar (CHVs) wakishangili wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
WAHUDUMU wa Afya ya Jamii Zanzibar (CHVs) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wawakakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi Wadogo wanaofanya Kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Amour Suleiman Mohamme, baada ya uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023
DUA MAALUM YA KUOMBEWA RAIS WA ZANZIBAR,MASJID MUSHAWWAR MJINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali mara baada ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakati ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa,dua iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa nne kulia) wakati wa kuhikisha Dua Maalum aliyoombewa katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia Dua Maalum aliyoombewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA VIWANJA VYA NJE YA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Viwanja vya nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Bw. Ilhan Karadeniz, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
BAADHI ya Wafanyakazi wa Kampuni ya ORKUN inayojenga Uwanja wa Amaan Zanzibar na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
WATOTO wa Kikundi cha Mchezo wa Karate cha Island Warriors Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuwapongeza Wanafunzi wa Skuli ya Jangombe Unguja Fadhila Ibrahim na Sharifa Somea, baada ya kumaliza kutowa burudani ya Ngoma ya Kunguwia, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea kiwanja cha ndani cha michezo wa mpira wa Kikapu katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN inayojenga uwanja huo Bw. Ilhan Karadeniz, wakati akitembelea Viwanja vya Nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali, alipowasili katika Uwanja wa Amaan kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa viwanja vya nje ya Uwanja wa Amaan Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika jana usiku 14-12-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini Bw.Shigeki Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw. Shigeki Komatsubara , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Rais wa Taasisi ya YTB ya Uturuki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (YTB) ukiongozwa na Rais wa taasisi hiyo Bw. Abdullah Eren (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023