WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AJITAMBULISHA KWA RAIS DR.MWINYI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki uliongozwa na Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na Ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar.
UJUMBE WA MADAKTARI WA KICHINA WALIOMALIZA MUDA WA KAZI HAPA NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr. Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari hao wa Kichina 32 waliomaliza muda wao wakutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,hafla ya kuagana ilifanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina 32 waliuomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe hguo wa Madaktari 32 waliomaliza muda wa kutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun (kulia aliyesimama) wakati akitoa shukurani zake leo kwa Ushirikiano walioupata katika huduma walizozitoa katika Hospitali za Zanzibar,wakati hafla ya kuagana wa lipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Viongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina wamsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati walipofika kumuaga Rais Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina (hawapo pichani) 32 waliomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AKABIDHIWA KADI YA KWANZA YA ATM YA CRDB AL- BARAKAH YA BENKI YA CRDB IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Meneja wa Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg. Badru Idd akizungumza na kuutambulisha ujumbe aliofuatana nao, kwa ajili ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour.
MKUU wa Kitengo cha Huduma za Benki Zinazofuata Misingi ya Sheria Benki ya CRDB (Islamic Banking)Ndg. Rashid Rashid, akizungumza kuhusiana na Akaunti ya Al- Barakah, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al -Barakah Benki. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023
MAZIKO YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KUSINI UNGUJA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid wakitoka kutoa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Kijiji cha Paje .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Said Mohamed Dimwa pamoja na Viongozi wengine leo alipowasili Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kushiriki maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Marehemu Mgana Zidi Khamis
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wan ne kulia) akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumswalia Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini katika Msikiti Mkuu wa Kijiji hicho
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi( katikati) akitia udongo kuzika mwili wa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja huko kijijini kwao Paje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid alipofika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Paje akishiriki maziko ya Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Kijijini Paje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kushoto) alipofika Kijiji cha Paje Nyumbani kwa Marehemu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid (kushoto kwa Rais )Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA BARANI AFRIKA
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na SMT wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha jingo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa la Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023