RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Jukwaa Kuu la Viongozi katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, wakati wa ziara yake kukagua Mradi huo wa Ujenzi wake 27-8-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita
Rais wa Zanzibar ametembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya juu amani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Kituo cha Ujenzi wa Barabara ya Juu (Flyover) Amani akiwa katika ziara yake kukagua hatu ya ujenzi wa Mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akiwa katika eneo la Kituo cha mradi huo leo 27-8-2023 na (kulia kwa Rais) Meneja wa Mradi Xiong Yunxu na Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akizungumza akiwa katika eneo la mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akihutubia Wananchi katika hafla ya Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 leo, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, sambamba na maonesho ya kazi mbali mbali katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Foundation Bi.Tully Esther Mwambapa (kushoto) akitoa maelezo wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akivalishwa Vazi la Kimasai wakati alipoungana na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi ya Fimbo kutoka kwa Kiongozi wa Jamii ya Wamasai hapa Zanzibar Ndg,Thomas Makau wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara Benki ya NBC Ndg,Obedy Ngavatula (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake ya uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi(KIZIMKAZI DAY) lililofanyika viwanja vya Kashangae Paje,Wilaya ya Kusini
Rais akiangalia wanyama katika sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi leo huko Paje Wilaya ya Kusini Ungujaviwanja vya Kashangae
Matembezi na mbio fupi (wogging)kwa ajili ya kuchangia vifaa Tiba Uzazi salama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokua akiagana na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu, baada ya kumalizika kwa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi
Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank Tanzania Bw.Obedi Laiser akiwa ni mdhamini Mkuu, alipokuwa akitoa salam fupi wakati wa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea vifaa mbali mbali vya tiba baada ya kuzindua gari maalum (mobilevan) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi (kulia),katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kushoto Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akishuhudia zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,inayokabidhi kwa Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu (wa nne kulia) pamoja na viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank Tanzania Bw.Obedi Laiser akiwa ni mdhamini Mkuu, alipokuwa akitoa salam fupi wakati wa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu wakimsikiliza Meneja Vipindi wa kampuni ya Pharm Access Ndg.Faiza Bwanakheri Abbas walipotembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu wakimsikiliza Bi.Fatma Ussi Yahya Afisa Afya ya Uzazi Mama na Mtoto -Kitengo Shirikishi Afya ya Uzazi Wizara ya Afya Zanzibbar,walipotembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiongoza matembezi na mbio fupi kwa hatua ya umaliziaji wa matembezi hayo yaliyoishia katika viwanja vya Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi leo yalioyoandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwa ni mshiriki wa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa wa Mjini Magharibi, akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr. Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa matembezi hayo , ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiongoza matembezi na mbio fupi yaliyofanyika Leo kuanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, yalioyoandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama (kulia) Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla, Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
,MKUTAO WA KITAIFA WA WADAU KUJADILI HALI DEMOKRASIA NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI 2024na 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam (kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Sisty Nyahoza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Edward Mpogolo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam uliohudhuriwa na Viongozi na wadau mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,baada ya kuufunga mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar kwa mwaka 2021 /2023 Ngazi ya Cheti Komputa na Hahari, wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar,Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume.(hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 21-1-2023.
Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam (kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Sisty Nyahoza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Edward Mpogolo
Baadhi ya Viongozi na Wad mbali mbali wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo.
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
Baadhi ya Viongozi na Wad mbali mbali wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (kushoto) wakizindua mradi wa "kuimarisha mazungumzo ya vyama vingi vya Siasa na kukuza ushiriki wa Wanawake na Vijana katika michakato ya kisiasa na Chaguzi" hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakati wa Ufungaji wa Mkutano wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024na 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kufunga Ufungaji wa Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo