State House Blog

Mazishi ya aliyekuwa Mheshimiwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimpa mkono wa pole Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid mara baada ya swala ya Maiti kumswalia Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla 03/03/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Viongozi baada ya Swala ya Ijumaa na kuswalia Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi 03/03/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) akijumuika na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu kumuombea dua Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi baada ya Swala ya Ijumaa 03/03/2023.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Ufilipino.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimakabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha (wengine kulia) Mkuruenzi mawasiliano Ikulu Ndg. Charles Hilary na Katibu wa Rais Balozi Masoud Abdalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang,wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MKUTANO WAKE WA MWISHO WA MWEZI NA WAANDISHI IKULU JIJINI ZANZIBAR

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-.
  • WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na Waandishi uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar,ikiwa ni utaratibu wake wa kuzungumza na Waandishi wa habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 28-2-2023
  • WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na Waandishi uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 28-2-2023
  • WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na Waandishi uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 28-2-2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Jumuiya ya Shia Tanzania.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) ulioongozwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, (wa pili kulia) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake wenye hekima
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) ulioongozwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, wakati wa mazungumzo na ujumbe huo leo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge (wa pili kulia) wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake.

.Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa ADB.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihudhuruia
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)Dkt. Akinwumi Adesina (wa tano kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihudhuria.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihuduria.