State House Blog

Tamasha la usiku wa Dk.Mwinyi la kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi viwanja vya Maisara Suleiman Unguja,tarehe 11 Disemba,2022.

  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuwapongeza Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, baada ya kumaliza kutowa burudani katika Tamasha Maalum la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 11-12-2022,lililoandaliwa na CCM Zanzibar na kuwashirikisha Wasanii wa vikundi mbalimbali wa Muziki wa Taraab na Bongo Fleva.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Tamasha la kumpongeza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, lililoandaliwa na CCM Zanzibar la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika jana usiku 11-12-2022 katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Rais Mstafu wa Tanzania Mama Siti Mwinyi na (kula kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.

  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022 (kushoto) Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein 11/12/2022
  • Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia) mara baada ya kutia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili kitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofika kumlaki katika maeneo ya Kilimani Jijini Zanzibar leo wakati wa mapokezi akitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui kuwashukuru wanachama na Viongozi akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejiapanga pembezoni katika barabara ya Kilimani wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofika kumlaki wakati wa mapokezi katika barabara ya kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui alipowasili kutokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Wananchama wa CCM Jimbo la Magomeni wakiwa katika mapokezi katika barabara ya Kutoka Kilimani kuelekea Kariakoo Jijini Zanzibar wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wananchi na Viongozi wa CCM wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdaala Juma sadala (Mabodi) katika Ukumbi wa Viongozi (VIP)wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo, alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wananchi na Viongozi wa CCM wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mama Siti Mwinyi pamoja na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022 (kulia) Mke wa rais wa zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivalishwa skafu katika mapokezi mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Mhe. Simai Mohammed Said kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said,Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Simai Mohamed Said Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Simai Mohamed Said Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Mhe Simai Mohammed Said Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-12-2022 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

MAMA MARIAM MWINYI AMEZINDUA MBIO KILOMITA 5,10 NA KUSHIRIKI MATEMBEZI

  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) mara baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano yaliyofanyika leo sambamba na mbio Kilomita tano na kumi hafla iliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge, Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Smile for Community Ndg. Flora Njelekela mara baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano,mbio Kilomita tano na kumi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza na wanamichezo kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano,mbio Kilomita tano na kumi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi akifyatua bastola kama ishara ya kuzindua mbio za kilomita kumi samba na kilomita tano wakiwemo na watu wenye ulemavu na pamona na matembezi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge, Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Wanariadha wa mbio za Kilomita tano sambamba na matembezi, ambapo wakiwemo na watu wenye ulemavu tafauti wakijitayarisha kabla mbio hizo kuzinduliwa leo na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi,ambapo taasisi ya Smile for Community iliyoandaa matembezi hayo kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt.Patricia Laverley

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt.Patricia Laverley, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 3-12-2022.