RAIS WA ZANZIBAR MHE DK. Hussein ALI MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA CHAMA CHA WANASHERIA WA MABUNGE YA AFRIKA UKUMBI WA HOTELI YA MADINAT AL BAHR MBWENI ZANZIBA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovoti ya Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, baada ya kuufungua Mkutano wa Sita wa Chama hicho uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kuizindua Tovoti ya Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Sita wa Chama hicho uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Abdulla Suleiman na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Rais wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Bw. Mussa Kombo Bakari.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Usajili wa Chama Cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Rais wa Chama hicho Bw. Mussa Kombo Bakari, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 1-11-2022.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Jijini Zanzibar 1-11-2022
WASHIRIKI wa Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Jijini Zanzibar leo 1-11-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibui “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Jijini Zanzibar leo 1-11-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibui “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Jijini Zanzibar leo 1-11-2022
Mkutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya wachakata nafaka
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni leo kuufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022) Bw.Mounir Bakhresa (kulia),mara baada ya kuufungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mkurugenzi wa Kanda ya IAOM 2022 Bw.Ali Habaj.
Baadhi ya wadau wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022) Bw.Mounir Bakhresa (kulia),pamoja na Viongozi wengiune akiwepo Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Sais Shaabani (katikati) kabla ya kuufungua leo katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Baadhi ya wadau wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni leo kuufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena Tax Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena .Tax, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-10-2022, kwa kujitambulishana na (kulia kwake) Mkurugenzi katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki-Zanzibar, Bi. Mariam Haji Mrisho.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena Tax, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-10-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena Tax, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 25-10-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. StergomenaTax, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-10-2022, alipofika kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Stergomena Tax, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 25-10-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Rais Mwinyi amehudhuria Dua na Hitma Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,(katikati) wakifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Amini Salmin Amour Juma(kushoto) mara baada ya Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisalimiana na Rais Mstafu wa Zanzibar Mhe.Salmin Amour Juma (Komndoo) alipofika Nyumbani kwake Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kujumuika na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akiteta na Rais Mstafu wa Zanzibar Mhe.Salimin Amour Juma (Komndoo) wakati alipofika Nyumbani kwake kumsalimia katika Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kujumuika na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa tatu kulia) na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,(kushoto) alifika kumsalimia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Salmin Amour Juma(kulia) nyumbani kwake Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja leo baada ya Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee katika Msikiti wa Ijumaa Kijijini hapo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amejumuika na Viongozi mbali mbali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,(wa Pili kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Amini Salmin Amour Juma(kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa tatu kulia) na Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.
Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka sehemu mbali mbali wakiwa katika Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,sambamba na Sala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,walipojumuika na Viongozi mbali mbali na Waumini wa Dini ya Kiislamu (hawapo pichani) katika Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,sambamba na Sala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa nasaha zake mara baada ya Sala ya Ijumaa na Dua maalum ya kuwaombea Wazee katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambapo Viongozi kadhaa wamehudhuria akiwemo Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa nasaha zake mara baada ya Sala ya Ijumaa na Dua maalum ya kuwaombea Wazee katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambapo Viongozi kadhaa wamehudhuria akiwemo Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman.
Mama Mariam Mwinyi Mgeni Rasmii,Maulid ya Madrasatul Mushawasl Muembe Shauri
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi(wa pili kushoto) akikaribishwa na wakinamama wa Madrasatul Mushawar Mwembeshauri katika Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W yaliyosomwa leo katika masjid Mushawar Mwembeshaur Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akifukizwa udii wakati wa kumswalia Mtume Muhammad S.A. katika Maulid yaliyosomwa leo katika Masjid Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambayo yameandaliwa na Madrasatul Mushawar Mwembeshauri.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitoa nasaha zake mbele ya waumini wanawake katika Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W yaliyosomwa katika Madrasatul Mushawar Mwembeshauri Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akiitikia dua ya Ufunguzi wa Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W iliyosomwa na Bi.Asha & Bi.Uchungu (wa Pili kulia) katika Masjid Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambayo yameandaliwa na Madrasatul Mushawar Mwembeshauri.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akiitikia dua ya Ufunguzi wa Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W iliyosomwa na Bi.Asha & Bi.Uchungu (wa Pili kulia) katika Masjid Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambayo yameandaliwa na Madrasatul Mushawar Mwembeshauri
Wamamadrasatul Mushawar Mwembeshauri wakimswalia Mtume Muhammad S.A.W katika Maulid yaliyosomwa Masjid Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo Mgeni Rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani).ambapo madrasa mbali mbali zimealikwa katika hafla hiyo.
Waumini Wanawake kutoka sehemu mbali mbali wakiitikia Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W yaliyosomwa leo katika Masjid Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambayo yameandaliwa na Madrasatul Mushawar Mwembeshauri