State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Dkt.Charlotte Hawkins Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Dkt.Charlotte Hawkins,Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 29-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika 29-9-2022, katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Dkt.Charlotte Hawkins,Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 29-9-2022

Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amewaongoza wanamichezo na vikundi vya mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mpira Dole Unguja.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5.5 yalioazia katika eneo la regeza mwendo Kianga na kumalizia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022 kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo wa vikundi mbalimbali vya Wilaya ya Magharibi “A” Unguja katika matembelezi ya Kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 24-9-2022.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5.5 yalioazia katika eneo la regeza mwendo Kianga na kumalizia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022 kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali Wilaya ya Magharibi “A” Unguja katika matembezi na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja Mhe. Mohammed Rajab na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi na(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union kutoka nchini Misri Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri Dr. Hossam Darwish baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA leo tarehe   8-9-2022 Ikulu mjini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg.Ali Abdalla Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022.

  • MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg. Ali Abdalla Ali,akiwa na Viongozi mbalimbali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar akifuatila mazungumzo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-9-2022.
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa (ZAECA) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seriikali Tanzania Be.Charles Kichere Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Charles E. Kichere (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo,5-9-2022 (kulia kwake) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Charles E. Kichere (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Charles E. Kichere (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo,5-9-2022 (kulia kwake) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali, wakiwa na ujumbe wao.