State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa ya Oman Dr.Hamed Modh Al Dhawiani Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani,(kulia kwa Rais)na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani (kulia kwa Rais) alipofia Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 25-8-2022, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani,wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-8-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki zoezi la Sensa ya watu na makazi

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar (hawapo pichani) baada ya kumaliza zoezi la kuhesabiwa la Sensa ya Watu na Makazi lililofanyika 23-8-2022, katika makazi yake Migombani Ikulu Ndogo Wilaya ya Mjini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi.Asia Hassan Mussa wakati wa zoezi la kuhesabiwa lililofanyika katika makaazi yake Migombani Ikulu Ndogo leo 23-8-2022, zoezi hilo la Sensa ya Watu na Makazi lilioza leo kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makaazi Zanzibar Balozi Mohammed Hamza, kabla ya kuaza kwa zoezi la Sensa lililofanyika katika Makazi ya Rais Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwake) Mtakimwi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg.Salum Kassim Ali, zoezi hilo lililofanyika.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makaazi Zanzibar Balozi.Mohammed Hamza, kabla ya kuaza kwa zoezi lililofanyika katika Makazi ya Rais Ikulu Ndogo Migombani Wilaya ya Mjini Unguja 23-8-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husssein Ali Mwinyi amehutubia kilele cha siku ya Vijana Kimataifa ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja jijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.

  • WAZIRI Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022, kabla ya kumkaribia mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia katika hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kumpongea Kijana Neema Suri akitowa burudani ya muziki wa Alam (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022 na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • BAADHI ya Vijana na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kimataifa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, iliyofanyika katika ukumbi huo leo 12-8-2022, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita na(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Dk.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja, kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliofanyika leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Picha Maalum Iliyotengenezwa na Vijana wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, akikabidhiwa na Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kulia kwa Waziri) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Vijana wa Mabaraza ya Vijana Zanzibar waliosimama nyuma baada ya kumalizika kwa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Picha Maalum Iliyotengenezwa na Vijana wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, akikabidhiwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kulia kwa Waziri) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwiny.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika sala ya Ijumaa Masjid Jamiu Zinjibar na Kumtembelea Mzee Khamis Abdulla Ameir.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroub Ali Suleiman, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi, alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Kitabu kilichoandikwa na Mzee Khamis Abdulla Ameir, kinachozungumzia historia yake, baada ya kukabidhiwa wakati wa mazungumzo yao alipofika nyumbani kwake Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yale leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mzee Khamis Abdulla Ameir, aliyewahi kuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika nyumbani kwake Maisra Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yake leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu kinachoelezea Historia ya Maisha yake Mzee Khamis Abdulla Ameir, aliyewahi kuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake Maisara Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali yake leo 12-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mzee Khamisi Abdulla Ameir aliyekuwa Mjumbe wa Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Maisara kumtembelea na kumjulia hali yake.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia utiaji wa saini ya Makabidhiano ya “Data” za utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa vitalu vya Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.

  • VIONGOZI Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu leo 10-8-2022, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya utiaji wa saini hiyo, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika hafla ya Utiaji wa Saini Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.
  • BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika Kazi zao Zanzibar wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa saini katika viwanja vya Ikulu.
  • WAZIRI wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba akimkabidhi "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asili kwa Vitalu vya Zanzibar, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame.(kulia) wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, na kushuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.
  • WAZIRI wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba akimkabidhi "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asili kwa Vitalu vya Zanzibar, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame.(kulia) wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, na kushuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.