State House Blog

Rais wa Zanzibar amewaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Rashid Ali Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar,na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • NDUGU Rashid Ali Salum akiapa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • NDUGU RAJAB Yussuf Khamis Mkasaba akiapa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Maua Abeid Daftari kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar,na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibarna (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 5-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Masoud Hussein Iddi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Ikulu Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.
  • DKT.Maua Abeid Daftari akiapa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 5-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • NDUGU.Masoud Hussein Iddi akiapa kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.
  • Mhe.Juma Makungu Juma akiapa Kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani

  • RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Mhe Suleiman Haji Suleiman,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Mhe Suleiman Haji Suleiman baada ya kumaliza mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Dkt. Suleiman Haji Suleiman, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekani Mhe Suleiman Haji Suleiman,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,alipofika kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Alim Mwinyi amezindua muongozo wa Mafunzo ya Sayansi,Kingereza na Hisabati kwa Skuli za Sekondari Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim (kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw.Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim (kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw.Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.
  • WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Elimu ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kizindua Muongozo huo, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • BAADHI ya Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Tanzania na wa Afrika Mashariki, kabla ya kuaza kwa Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Elimu ya Sanyasi Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim,Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw. Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia Ngoma ya Msewe katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja. alipowasili katika viwanja vya Hoteli hiyo,kwa ajili ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Walimu wa Skuli za Sekondari Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja Mwandamizi wa Good Neighbors Tanzania John Messenza akitowa maelezo ya Vitabu vya muongozo wa Elimu ya Sayansi, wakati akitembelea maonesho hayo ya nyenzo za kufundishia masomo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe.Sun Pyo Kim na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mfikiwa Masjid Munawwara Sala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mfikiwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa leo 29-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa Wilaya ya Chakechake Pemba leo 29-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mfikiwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa leo 29-7-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne katika Chakula alichowaandalia Ikulu ndogo Pagali Pemba na kuwakabidhi zawadi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Nne waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa, wakati wa chakula maalum na kuwakabidhi zawadi,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba Pemba na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Bopar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Laptop Mwanafunzi Abdulhalim Rajab Ame wa Kidatu cha Nne kutoka Skuli ya Fidel Castro Pemba,wakati wa chakula maalum alichowaandalia na kuwapongeza kwa kufaulu vizuri katika mitihani yao ya Taifa, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akimpongeza Mwanafuzi wa Kidatu cha Nne wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba,Kassim Khamis Omar, kwa kufaulu vizuri mtihani wake wa Taifa,wakati wa chakula maalum na kuzawadiwa zawadi Wanafunzi waliofaulu vizuri mitihani yao, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba.
  • WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali za Sekondari Pemba wa Kidatu cha Sita na Cha Nne, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi na kujumuika nao katika Chakula cha mchana kilichofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwapongeza Wanafunzi wa Kitadu cha Sita na cha Nne Pemba kwa kufaulu vizuri mitihani yao ya Taifa, wakati wa chakula maalum alichowaandali na kuwakabidhi zawadi katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Wilaya ya Chake Chake Pemba.
  • WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne na Sita Pemba wakishangilia wakati wa kukabidhiwa zawadi kwa ufaulu wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Chakechake Pemba.
  • WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali za Sekondari Pemba wa Kidatu cha Sita na Cha Nne, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi na kujumuika nao katika Chakula cha mchana kilichofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba leo 29-7-2022.