State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi Hati yake ya Kiapo baada ya kumuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.

Dk. Shein ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar

  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Mhe. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, na (kulia ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla.
  • WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akifungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika
  • WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akifungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar

Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh baada ya kumuapisha 7/11/2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh, baada ya kumuapisha katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitambulishwa familia ya Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh na kumkabidhi hati yake ya Kiapo baada ya kumuapisha katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
  • NDUGU na Familia ya Katibu wa Rais Bw. Suleiman Ahmed Saleh wakihudhuria kuapishwa kwake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Katibu wa Rais Bw.Ndg.Suleiman Ahmed Saleh, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7/11/2020, na (kushoto kwa Rais ) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Yanya Mzee
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Katibu wa Rais Bw.Ndg.Suleiman Ahmed Saleh, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7/11/2020, na (kushoto kwa Rais ) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Yanya Mzee
  • MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dk.Mwinyi Talib Haji, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid na Naiubu Katibu Mkuu Ndg Salum Kassim Ali, wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Katibu wa Rais Bw.Suleiman Ahmed Saleh, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi awaasa wananchi kudumisha Amani.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Masjid Nunge Dodoma Sheikh.Haji Ismai Abdalla baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodoma
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam Jijini Dodoma baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma leo 6-11-2020, na kuwanasihi kuendeleza Amani Nchini.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam Jijini Dodoma baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma leo 6-11-2020, na kuwanasihi kuendeleza Amani Nchini
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa Sheikh Abdi Mussa, baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 6/11/2020 katika Masjid Nunge Jijini Dodoma na (kulia kwa Rais) Sheikh. Mohammed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodma

Hafla ya kuapishwa Rais wa Tanzania jijini Dodoma.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipunga mkono wakati  Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwa ajili ya kuapishwa.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipunga mkono wakati Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwa ajili ya kuapishwa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama Jukwaa kuu la Viongozi wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipunga mkono wakati Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwa ajili ya kuapishwa, baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Tanzxania uliofanyika mwezi Oktoba 2020.
  • Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma, baada ya kushinda uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka huu Oktoba 28, 2020.
  • Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akielekea katika jukwaa baada ya kuapishwa Katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma
  • Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma  akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli , katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli , katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.