State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mazungumzo na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Didier Chassot, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha na (kulia kwake) Afisa wa Ubalozi Bi.Esther Majani
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbui wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Frederic Clavier (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.leo 27-4-2021
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Frederic Clavier, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbiu wa Ikulu Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiania na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier kwa kugonganisha mikoni alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 27-4-2021
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 27-4-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibare Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapishwa Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ Ikulu Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Commodore Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Luteni Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Mkuu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kanali Makame Abdallah Daima kuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKU) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kamishna Khamis Bakari Khamis kuwa Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kamishna Rashid Mzee Abdallah kuwa Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar ,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bwa.Mussa Kombo Bakari kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha ACP Ahmed Khamis Makarani, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya ya Kuzuiya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA)hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar Khamis Bakari Khamis, kabla ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kuwaapisha Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • BAADHI ya Wanafamiulia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Commodore Azana Hassan Msingiri kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa KMKM Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar Rashid Mzee Abdallah,kabla ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) Luteni Kanali Makame Abdalla Daima kabla ya kumuapisha kuwaa Mkuu wa (JKU)hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ baada ya kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu leo

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria mashindano ya 121 ya Fainali ya kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki uwanja wa Amani Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa meza kuu waliokaa na waliosimama Washiriki wa Fainali ya Mashindano ya 12 ya kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein iliotolewa na Taasisi ya Al-Manahil Irfan Islamic Center ilioandaa Fainali ya 12 ya mashindano hayo ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa Kwanza wa Fainali ya Mashindano ya 12 ya Kuhifadhi Quran Tukufu Juzuu 30 kutoka Nchini Kenya Mwanafunzi Yunus Masoud kwaboko, yaliofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar (kushoto kwa Rais) Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaan Alhadi Mussa Salum.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar. Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein iliotolewa na Taasisi ya Al-Manahil Irfan Islamic Center ilioandaa Fainali ya 12 ya mashindano hayo ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Fainali ya 12 ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Fainali ya 12 ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi na Washiriki wa Mashindano ya Fainali ya 12 ya Kuhifadhi Quran kwa Nchi za Afrika Mashariki yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi amejumejumuika na   wananchi wa Mbuzini katika sala ya Ijumaa

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Masjid Al –Jalil baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
 • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar naMw enyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Hussein Ali Mwinyi, akiwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
 • KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume akizungumza na kutowa mawaidha kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi. kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa,iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini.
 • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
 • KHATIBU Mohammed Omar Ali akitowa hutba ya Sala ya Ijumaa kwa Waumuni wa Dini ya Kiislam katika Masjid Al –Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja. Sheikh Said Mohammed Said na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipowasili katika masjid hiyo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge Jijini Dodoma

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika paredi ikiongozwa na Mhe Hassan Zungu wakielekea katika ukumbi wa Bunge wakati wa hafla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere na Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe Ali Hassan, Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwake)Mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mama , wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akilihutubia Bunge Jijini Dodoma.
 • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa paredi kwa ajili ya kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Tulia
 • VIONGOZI Wakuu Wastaaf wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge Jijini Dodoma.
 • RAIS Mstaaf wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwa na Marais Wastaaf wakielekea katika ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Jijini Dodoma.wakati wa hafla ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge.