State House Blog

Mke wa Rais Wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ametoa Mkono wa Eid El Fitry kwa watoto wa Kijiji cha SOS na watoto wa nyumba ya watoto Mazizini Unguja.

 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Wazee Jinsia na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdalla (kushoto kwake) na Watoto wake Jamila Hussein Mwinyi na Siti Hussein Mwinyi, wakiwa wamepakata watoto wanaolelewa katika Nyumba ya Watoto Mazizini Jijini Zanzibar Wilaya ya Magharibi "B" Unguja
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Mtoto anayelelewa katika Nyumba ya Watoto Mazizini Hawa Abdalla, alipofika kuwatambelea na kutoa mkono wa Eid El Fitrey.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na kutowa nasaha zake kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto ya Serikali Mazizini Jijini Zanzibar Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 • WATOTO wa Nyumba ya Watoto Mazizini Jijini Zanzibar wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika kjatika makazi yao kwa kuwasalimia na kutoa mkono wa Eid El Fitryt.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa SOS (kulia kwake) Wahida Abdalla na (kushoto kwake) Yusseuf Abdalla, baada ya kumalizika kwa hafla ya kutowa mkono wa Eid El Fitry kwa Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar alipofika kuwasalimia na kuwapa mkono wa Eid El Fitry Kijijini Kwao Mombasa Jijini Zanzibar.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maria Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watoto wa Kijiji cha SOS alipofika kuwasalimia na kuwapa mkono wa Eid El Fitry, alipofika katika makazi yao Mombasa Wilaya ya Magharibiu B Unguja.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Mtoto wake Tariq Hussein Mwinyi wakitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Watoto wa Kijiji cha SOS, alipofika kuwasalimia na kutowa mkono wa Eid

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Mkono wa Eid El Fitry kwa Wananchi waliofika Ikulu jijini Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na baadhi ya Masheikh waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia,baada ya kutoka katika Sala ya Eid El Fitry, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kupokea mkono wa Eid El fitry
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza kuzungumza na baadhi ya Masheikh wa Zanzibar waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia na (kulia) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman
 • WAZEE wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuwatembelea na kutowa mkono wa Eid El Fitry katika makazi yao Welezo.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsalimia na kumpa mkono wa Eid El Fitry mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar, alipofika kuwatembelea katika makazi yao Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam MWinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, baada ya kuwasalimia na kutowa mkoni wa Eid El Fitry kwa Wazee hao alipofika katika makazi yao
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, alipofika kuwasalimia katika makazi yao.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, alipofika kuwasalimia katika makazi yao.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, alipofika kuwasalimia katika makazi yao.
 • WAZEE wa Nyumba za Wazee Sebleni wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akiwasalimia wakati alipofika kuwatembelea na kutowa Mkono wa Eid El Fitry, katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwatembelea na kutowa mkono wa Eid El Fitry.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid El Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi huo.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakijumuika katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi. (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Alhaj Dkt.Amani Karume na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia Baraza la Eid El Fitry,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • VIONGOZI wa meza kuu wakifuatilia hubata ya Baraza la Eid El Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakihudhuria Baraza la Eid El Fitry wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia Baraza katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpa Mkono wa Eid Bw. Mohammed Ali Mzee, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • BALOZI Mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe. Mohamed Ibrahim Al-Bulushi.Akiwa na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid El Fitry, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya Eid El Fitry iIliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kuhudhuria Sala ya Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwac Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh. Abdulkarim Said Abdulla (hayupo pichani) katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt. Amani Karume
 • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Viongozi wa Diniu na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh. Abdulkarim Said Abdulla, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Dini na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya Eid El Fitry,ikisaliswa na Sheikh Rashid Salim Dau, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar Suleiman Jijini Zanzibar
 • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuka katika Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia Afrika Ikulu jijini Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anauashuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12/5/2021.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anauashuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12/5/2021.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe.James Duddridge wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Mhe.James Duddridge wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzoyao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulika Masuala ya Afrika. Mhe. James Duddridge, alipofika Ikulu kwa mazungumzo akiongozana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulika Masuala ya Afrika. Mhe. James Duddridge, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar