State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace Ikulu Zanzibar.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Ccm Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Viongozi wa CCM nNa Mabalozi wao.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongzozi wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufunguaMskiti wa Masjid Taqwa uliyopo Bambi Wilaya ya Kati Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi   ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Msumbiji kuhudhuria   mkutano wa Sadc.