State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa Mkono wa Eid El Fitry kwa Wananchi waliofika Ikulu jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid El Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya Eid El Fitry iIliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshuhulikia Afrika Ikulu jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania.