State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima ukanda wa Mashariki na kusini mwa Afrika.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliowashirikisha Wadau wa Bima,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 29-8-2022.
  • MWENYEKITI wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi.Patty Karuaihe Martin akizungumza na kutowa maelezo ya Umoja huo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika uliyofanyika leo 29-8-2022,katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Jijini Zanzibar, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliowashirikisha Wadau wa Bima, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 29-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliowashirikisha Wadau wa Bima, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 29-8-2022.
  • CEO wa Kampuni ya Masawara Group. Bw.Shingai Mutasa wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-8-2022, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022.
  • WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022.
  • WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022.
  • MWENYEKITI wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi.Patty Karuaihe Martin akizungumza na kutowa maelezo ya Umoja huo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika uliyofanyika leo 29-8-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Jijini Zanzibar, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo A.Saqware.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni , kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliyofanyika 29-8-2022 katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdallah Saqware.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya ukaguzi wa Hesabu za Serikali.

  • MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali akisoma Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021, wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika leo 27-8-2022 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Othman Abass Ali(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 27-8-2022 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ikisomwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abass Ali.(kushoto kwa Rais) kabla ya kumkabidhi,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka 2020/2021,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka 2020/2021, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika 27-8-2022, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika 27-8-2022, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika 27-8-2022, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA IRAN IKULU ZANZIBAR.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran.Mhe Hossein Amir Abdollahian, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Jahazi mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Hossein Amir Abdollahian.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-8-2022.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya Ijumaa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Mohammed Ali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 26-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Ayatul Kursiyu na Kiongozi wa Masjid Nabawi Sheikh Ali Aboud,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo iliyoko katika mtaa wa Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo. 26-6-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa mtaada wa Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi "B" Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliuofanyika katika Masjid hiyo 26-8-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa ya Oman Dr.Hamed Modh Al Dhawiani Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani,(kulia kwa Rais)na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani (kulia kwa Rais) alipofia Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 25-8-2022, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-8-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani,wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-8-2022.