Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mskiti wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa
30 Sep 2022
160
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwakumbia mkono wananchi waliofika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja alipowasili kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid hiyo 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja alipowasili kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid hiyo 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya ufunguzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria ufungua wa Msjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kasakazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Sheikh.Ali Suleiman Mawele.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya ufunguzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Msikiti huo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika 30-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Sheikh.Ali Suleiman Mawele, baada ya ufunguzi wa Masjid hiyo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 30-9-2022 katika Msikiti huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022. Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mwananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya Kaskazini “A” Unguja Bi. Miza Baya Khamis, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya iliyofanyika leo 30-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
WANANCHI wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia baada ya ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo 30-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kandwi baada ya kumaliza kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Dkt.Charlotte Hawkins Ikulu Zanzibar.
29 Sep 2022
155
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Dkt.Charlotte Hawkins,Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 29-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika 29-9-2022, katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Dkt.Charlotte Hawkins,Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 29-9-2022
Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amewaongoza wanamichezo na vikundi vya mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mpira Dole Unguja.
24 Sep 2022
209
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5.5 yalioazia katika eneo la regeza mwendo Kianga na kumalizia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022 kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo wa vikundi mbalimbali vya Wilaya ya Magharibi “A” Unguja katika matembelezi ya Kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya mpira Dole kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 24-9-2022.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5.5 yalioazia katika eneo la regeza mwendo Kianga na kumalizia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022 kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali Wilaya ya Magharibi “A” Unguja katika matembezi na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja Mhe. Mohammed Rajab na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanamichezo mbalimbali katika matembezi na mazoezi ya viungo ya kilomita 5.5 yaliyoazia katika eneo la regeza mwendo na kumalizikia katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022, na (kushoto ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Bi.Lela Ngozi na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi na(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union kutoka nchini Misri Ikulu Zanzibar.
24 Sep 2022
185
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri Dr. Hossam Darwish baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA leo tarehe 8-9-2022 Ikulu mjini Zanzibar.
08 Sep 2022
309
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg.Ali Abdalla Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022.

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg. Ali Abdalla Ali,akiwa na Viongozi mbalimbali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar akifuatila mazungumzo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-9-2022.
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kumuapisha Mkurugenzi Mkuu wa (ZAECA) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-9-2022.