State House Blog

Dk. Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa, India (IITM).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amefanya mazungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msaidizi Balozi wa India, Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, katika Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) kutoka India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, alipokuwa akitoa salamu za ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM)ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
  • Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa,alipokuwa akiutambulisha Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlota Ozaki Macias,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlota Ozaki Macias(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mneni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar Tunguu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kutoka kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassan Juma na Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,pia Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Hamza Hassan Juma
  • Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha Mahkama mara baada ya kukizindua leo katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Prof.Ibrahim Khamis Juma (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
  • Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hypo pichani) alikuwa Mgeni rasmi kaaika hafla hiyo
  • Baadhi ya Viongozi na Wananchi mali mali walioalikwa katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma wakifuatana pamoja na Majaji Wakuu wa Mahkama kuu Zanzibar wakiingia katika uwanja wa sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid (kulia)wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Mkutano mkuu wa Nane wa Chama cha Walimu Zanziar (Zatu)

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati waimbo wa Mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mwalimu Zanziar ZATU uliofanyika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Wakuu wa vyombo vya ulinzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano hur uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)uliofanyila leo Katixa ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati waimbo wa Mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mwalimu Zanziar ZATU uliofanyika leo ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Wajume wa Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano hur uliofanyila leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)uliofanyila leo Katixa ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maduka Kisiwani Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiangalia Mchele katika duka la Bw. Ali Hamad (katikati) alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka ya Machomanne Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo pamoja na bidhaa mbali mbali za Chakula, sambamba na Agizo lililotolewa na Serikali kuwataka Wafanyabiashara kupunguza bei ili kuwapungumzia Mzigo Wananchi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Machomanne, Chake chake mara baada ya kuangalia bei za Bidhaa ya Mchele katika maduka mbali mbali katika mtaa huo alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika duka la Bw. Ali Hamad (katikati) kuangalia bei za bidhaa mbali mbali za Chakula wakati alipotembela Maduka ya Macho manne Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo alipofanya ziara maalum.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Bw.Suleiman Ali Abdalla (kulia) Mfanyabiashara wa Duka la Chakula na bidhaa mbali mbali kujua bei halisi hasa Chakula Kikuu kwa wananchi wakati alipotembela Soko Kuu la Chake chake Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara maalum.