DK.Mwinyi amemkaribisha Rais wa R0mania Ikulu Zanzibar.
18 Nov 2023
57
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis wakati wa mazungumzo yao alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar akiwa katika ziara ya siku nne nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwakaribisha Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis (kushoto) na Mkewe Carmen Iohannis wakati wa chakula maalum alichowaandalia leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao katika ziara ya siku nne nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini.
Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis akitia saini kitabu cha wageni leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kabla ya mazungumzo yao na mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) Rais Klaus Iohannis yupo nchini kwa ziara ya siku nne nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipeana mkono na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa na mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leoakiwa katika ziara ya siku nne nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leoakiwa katika ziara ya siku nne nchini

RAIS wa Romania Mhe.Klaus Lohannis akiwa na Mkewe na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Jamal Kassin Ali wakiangalia ngoma ya Msewe iliyoandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake alipowasili katika Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja akitokea Jijini Dar es Salaam

RAIS wa Romania Mhe. Klaus Lohannis akiwa na Mkewe Mama Carmen Lohannis wakikabidhiwa maua na Watoto Hiyam Muhsin na Said Issa walioandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake alipowasili katika Bandari wa Malindi Jijini Zanzibar leo 18-11-2023 kwa ziara ya siku moja Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam.
RAIS wa Romania Mhe.Klaus Lohannis akiwa na Mkewe Mama Carmen Lohannis baada ya kuwasili katika Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja Zanzibar, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali
RAIS wa Romania Mhe.Klaus Lohannis akisalimia na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali alipowasili katika bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kwa ziara ya Siku moja Zanzibar, akitokea Jijini Dar es Salaam na (kulia kwa Waziri) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa
Rais Wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama kuu Zanzibar.
16 Nov 2023
88
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Haji Suleiman Khamis(Tetere) kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Wakili wa Kujitegemea
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis wa Mahkama Kuu
wanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg.Saleh Juma Mussa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bi.Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar
Baadhi ya Majaji wa mahkama Kuu ya Zanzibar wakishudia Majaji wapya wa Mahakama Kuu walipoapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman pamoja na Viongozi wengine wakiwa hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kwa Majaji wa Mahkamu Kuu Zanzibar walioteuliwa hivi karibu, wakati wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidi hati ya kiapo Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere) baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Mhe. Salum Hassan Mzee, baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere) kuwa Jaji wa Hahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi hati ya kiapo Mhe. Khadija Shamte Mzee baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Mhe.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, walioteuliwa hivi karibuni, wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
MAJAJI wateule wa Mahkama Kuu Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na kutoka (kulia ) Mhe. Khadija Shamte Mzee, Mhe. Salum Hassan Bakari na Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuwaapisha Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar akiowateua hivi karibuni, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameufungua Mkutano wa Mawaziri wa Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama.
15 Nov 2023
58
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam leo 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam leo 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka Nchi 22 Wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam leo 15-11-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewapongeza Wanafunzi wa Kidatu Cha Nne Na Sita Zanzibar kwa Kufaulu Vizuri Mitihani yao ya Taifa.
12 Nov 2023
113
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya FEZA Zanzibar Hassan Hafidh Ussi, kwa kufanya vizuri Mtihani wake wa Taifa wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kupata Daraja la Kwanza , wakati wa hafla maalum aliyowaandalia kwa ajili ya kuwapongeza na kujumuika nao katika Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar za binafsi na Serikali wakiwa na zawadi zao walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza kwa kufaulu vizuri Mitihani yao ya Taifa, na kujumuika nao katika hafla maalum ya chakula alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 12-11-2023 na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza, wakati hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , na kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwatunza Wanafunzi Aisha na Khadija wakisoma Utenzi maalum wa kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita kwa kufaulu vizuri katika Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023.
WALIMU wa Skuli za Sekondar Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023
Ufunguzi wa Taasisi ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar.
07 Nov 2023
52
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea tunzo kutoka kwa Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi.