State House Blog

Uwekaji wa Jiwe la msingi maegesho ya magari,Malindi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) na Mkuu wa Kikosi cha KMKM Zanzibar Komodore Azanna Hassan Msingiri pamoja na Viongozi wengine wakifuatana mara baada ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari ,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ili kuzungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa Akitoa hutuba yake kwa Wananchi katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed, Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Said (Dimwa)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Ndg.Saidi Salim Hamadi, Maneja Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari Mtaa wa Malindi Wilaya ya Mjini katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi huo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia ratiba ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Ali.S.Ameir (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Said (Dimwa)
  • Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg.Aboud Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa taarifa ya Kitaalam leo katika hafla ya uwekaji rasmi jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari,Malindi Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi katika hafla ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibr Mhgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati akiwasili Viwanja vya Malindi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa maegesho ya magari leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Ali S. Ameir wakifungua pazia kwa pamoja kama ishara ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Maradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari, Malindi Wilaya ya Mjini leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

CHAMA CHA WAJANE AFRICA

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wajane Afrika ulioongozwa na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma akiwa na Wajumbe wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo yanayohusu maandalizi ya kufanyika kwa mkutano mkubwa wa Wajane wa Afrika hapa Zanzibar utakaoshirikisha zaidi ya Nchi 54
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wajane Tanzania (TAWIA) Ndg.Rose Sarwart na Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) Ndg.Tabia Makame wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipoungana na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (kulia kwa Rais)akitoa maelezo kuhusu kufanyika kwa mkutano mkubwa wa Wajane wa Afrika hapa Zanzibar utakaoshirikisha zaidi ya Nchi 54,wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe aliofuatana nao leo.

Maadhimisho ya Siku ya Maadili na haki za Binadamu tarehe 19 Disemba,2023

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria ,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar yaliyohudhuriwa na Viongozi na Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali yta Mapinduzi
  • Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi wakiwa katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msanii Kirobo mara baada ya igizo lake leo katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi wakiwa katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Mpango wa Kitaifa wa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii Zanzibar Viwanja vya Maisara Suleiman

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uliofanyika leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa D-Tree International Bw. Recardo Rampaliele, alipowasili katika jukwaa kuu la Viongozi kwa ajili ya uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, Mkurugenzi Mkaazi wa UNICEF Nchini Bi.Eike Wisch, baada ya uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023
  • WAHUDUMU wa Afya ya Jamii Zanzibar (CHVs) wakishangili wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
  • WAHUDUMU wa Afya ya Jamii Zanzibar (CHVs) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar leo 16-12-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wawakakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi Wadogo wanaofanya Kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Amour Suleiman Mohamme, baada ya uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-12-2023 na (kushoto kwake) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-12-2023

DUA MAALUM YA KUOMBEWA RAIS WA ZANZIBAR,MASJID MUSHAWWAR MJINI ZANZIBAR

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali mara baada ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakati ya Dua Maalum aliyoombewa leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa,dua iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa nne kulia) wakati wa kuhikisha Dua Maalum aliyoombewa katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia Dua Maalum aliyoombewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz