State House Blog

Rais wa Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwimyi ametunuku Nishani

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi wenye sifa za Kipekee Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi wenye sifa za Kipekee Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla katika hafla ya utolewaji wa nishani za Mapinduzi iliyofanyika leo Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Viongozi wa Vikosi wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya utolewaji wa nishani za Mapinduzi katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Viongozi mbali mbali Serikali ya Mapinduzi na Jamhuri ya Muungano wakiwa katika hafla ya utolewaji wa nishani za Mapinduzi iliyofanyika leo Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Utumishi wa muda mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ Lt.Col Khadija Ahmada katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwenye shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakielekea katika Uwanja wa Ikulu kwenye hafla ya kutuku Nishani ya Mapinduzi Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mama Mariam Mwinyi wakijipatia Vinywaji baada ya hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali za Mapinduzi kwa Viongozi katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi waliohudhuria katika hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
 • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Utumishi Uliotukuka Mhe.Dkt. Abdulhamid Yahaya Mzee katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika katika hafla ya kutunuku Nishani mbali mbali iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Utumishi Uliotukuka Prof.Saleh Idris Muhammed katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi ya Utmishi wa muda Mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ KO743MCPO 1 Mohamed Suleiman Haji(Geji) katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi ya Utmishi wa muda Mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ Lt.Col (Mst) Maryam Kurwa Nassor katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi wakati alipokuwa akitembelea Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Omar Said Shaaban katika hafla ya ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kanda wa kampuni ya Simu ya TIGO Ndg,Aziz Said Ali wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika hafla ya ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Omar Said Shaaban
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakiwa pungia mikono wananchi waliofika katika hafla ya ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 • Baadhi ya wanancho waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • Baadhi ya wanancho waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Fedha na Utawala Ndg.Devotha Herman,wakati alipojumuka katika sherehe za ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akishudia (kulia) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Omar Said Shaaban
 • Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Fedha na Utawala Ndg.Devotha Herman,mara baada ya kufungua Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (kulia) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Omar Said Shaaban
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Kanda wa kampuni ya Simu ya TIGO Ndg,Aziz Said Ali wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika hafla ya ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Bw.Masoud Ali wa Azam wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika hafla ya ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Omar Said Shaaban na Katibu Mkuu wa Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Ndg.Ali Khamis.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurughenzi Mkuu wa Shrika la Utangazaji Ndg.Ramadhani Bukini (kushoto) alipotembelea mabanda ya Maonesho katika hafla ya ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Unguja.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar,Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Eneo la Maonesho ya Biashara na Tamasha la 10 la Biashara Zanzibar, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Utiaji saini Makubaliano Ujenzi wa Bandari ya Abiria Mpiga Duri.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi na Mwakilishi Mwenza wa Kampuni ya ZF Devco Ndg.Matthew Vander Borgh ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini.
 • Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi akibadilishana hati za saini ya makubaliano Mwakilishi Mwenza wa Kampuni ya ZF Devco Ndg. Matthew Vander Borgh ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi
 • Baadhi ya Viongozi waliohudhuria saini ya makubaliano ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akitoa hutuba yake katika hafla ya utiaji saini Makubaliano ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi katika Maadhimisho ya shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 • Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe.Welbe de Boer alipokuwa akizungumza na Viongozi waliohudhuria katika uwekaji saini makubaliano ya Ujenzi wa Bandari ya Abiria Mpiga Duri itakayojegwa na Kampuni ya Zf.Devco ya Uholanzi hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akiwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja ikiwa ni Shamrashara za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 • VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyoko katika eneo la mtaa wa muembeladu Unguja, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo la Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuifungua leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (Kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Lela Muhamed Mussa
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya darasa la somo la Komputa katika Skuli ya Sekonda ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuifungua leo 9-1-2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja iliyoko katika eneo la muembeladu na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kuipongeza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kukamilisha Mradi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahme Said
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja iliyoko katika eneo la muembeladu na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • MUONEKANO wa jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyofunguliwa leo 9-1-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Tumekuja kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli hiyo leo 9-1-2024 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja eliyoko katika eneo la muembeladu, hafla hiyo iliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

UFUNGUZI WA BANDARI YA FUMBA

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili Fumba kufungua Bandari mpya ya Fumba Ports inayofanya shuhuli za kushusha kontena katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika Ufunguzi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (wa tatu kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati Rais alipotembelea sehemu za Bandari hiyo leo mara baada ya ufunguzi rasmi iliyojengwa Fumba,Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali
 • Mwekezaji wa Bandari ya Fumba Ports Bw.Mohamed Jaffar akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakati Rais alipotembelea sehemu za Bandari hiyo leo mara baada ya ufunguzi rasmi, iliyojengwa Fumba,Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakisoma maandishi ya Jiwe la ufunguzi rasmi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali wakati alipokuwa akiangalia Ramani ya Eneo la Bandari hiyo leo alipofika kuifungua Bandari mpya ya Fumba Ports inayofanya shuhuli za ushushaji wa Makontena ,ikiwa katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar