State House Blog

Dk.Mwinyi ameshiriki Chakula cha Usiku na GPE Ikulu mjini Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani ya GPE Duniani katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Uongozi wa Bodi ya GPE Duniani katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani ya GPE Duniani katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana
  • Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) wakiwa katika hafla ya Chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana
  • Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Mrisho Jakaya Kikwete (hayupo pichani) jana wakati wa hafla ya Chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana.
  • Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Mrisho Jakaya Kikwete (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana.
  • Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) wakiwa katika hafla ya Chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana.
  • Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) wakiwa katika hafla ya Chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Mrisho Jakaya Kikwete na Afisa Mtendaji Mkuu wa GPE Bibi. Laura Frigenti (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) katika hafla ya Chakula cha Usiku alichokiandaa kwa Bodi Uongozi wa Bodi ya GPE Duniani katika viwanja vya Ikulu jana Usiku.