State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika Sala ya Ijumaa Masjid Mushawar na Kumjulia Hali Mzee Abdalla Mwinyi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi“B”Unguja kumsalimia na kumjulia hali yake.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mushawar. Miembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Mushawar na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya Zanzibar Kanali.Burhabi Zuberi Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kanali Burhan Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana wakifuatilia kuapishwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar. Kanali Burhani Zuberi Nassor,akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar,Kanali Burhan Zuberi Nassor, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, (kushoto kwa Rais)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.

Rais wa Zanzibar Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi amekuatana na Balozi wa Indinesia Nchini Tanzania.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akizungumza mgeni wake Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Abdulla Bin ALI Alsheryan wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika leo Ikulu Jijini Zanzibar, Kumuaga Rais baada ya kumaliza muada wake wa kazi nchini.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya mazungumzo yao.

Ufunguzi wa Kituo cha Afya Kidimni, Wilaya ya Kati Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja alichokifungua,ambacho kimejengwa na Washirika maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mtoto Abdalla Nassor mwenye mahitaji maalum katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea
  • Wananchi mbali mbali wa Kijiji cha Kidimni Taasisi za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (wa pili kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (wa pili kulia) na Katibu wa baraza la mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ua ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
  • Katibu Mkuu wa Wizara wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Bi.Fatma Mrisho alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati alipotembelea Sehemu mbali mbali katika Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja mara baada ya kukifungua rasmi leo,kituo hicho kilichojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
  • Baadhi ya wajumbe wa Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea wakiwa katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambacho kimejengwa na Washirika hao kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo wakifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (katikati) wakata utepe kufungua Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea,(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
  • Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambacho kimejengwa na Washirika hao kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Viongozi mbali mbali na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Msiba wa Dr. Mwelecele Ntuli Malecela

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa mara alipowasili katika msiba wa Mtoto wa Mzee John Samuel Malecela Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
  • Wafanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO wakibeba mwili wa marehemu Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa kabla ya kwenda kuzikwa kijijini kwao Dodoma.
  • Baadhi ya wananchi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ua kuuaga mwili wa marehemu Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
  • Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela (katikati) akiwa na familia yake katika msiba wa kumuaga Mtoto wake marehemu Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake na kutoa pole kwa familia ya Mzee John Samuel Malecela kwa kufiliwa na mtoto wake Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa mara alipowasili katika msiba wa Mtoto wa Mzee John Samuel Malecela Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake na kutoa pole kwa familia ya Mzee John Samuel Malecela kwa kufiliwa na mtoto wake Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.