State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wajane ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na Mkurugeni Mkuu wa Taasisi hiyo Bi.Tabia Makame Mohammed,mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wajane Zanzibar.(ZAWIO) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Mgeni Hassan Juma, wakati wa mkutano wake na Uongozi wa Taasisi hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi. Tabia Makame Mohammed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) Bi. Tabia Makame Mohammed,(kulia kwa Rais) wakati walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi.Tabia Makame Mohammed,mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwiny i amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya isha na Tarawekh Iliofanyika Masjid Magh-Fira

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia Dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia Dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia Dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabiri (kulia kwa Rais) na Ust. Kombo Bain a (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar heikh. Khalid Ali Mfaume, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar jana usiku 17-4-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam wa Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam wa Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 14-4-2021,mazungumzo hayu yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 14-4-2021, mazungumzo hayu yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara ya kutembelea Jengo la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil Bakari, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi wa jengo jipya la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Rahma Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jipya la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi. Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jepya la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akimsikiliza Msimamizi wa Ujenzi waSerikali wa jengo hilo Mhandisi Yassir De Coster wakati wa ziara yak
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo jipya la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuangalia maendeleo ya ujenzi huo 14-4-2021, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jepya la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akimsikiliza Msimamizi wa Ujenzi wa Serikali wa jengo hilo Mhandisi Yassir De Coster wakati wa ziara yake leo 14—4-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali baada ya kumaliza ziara yake kutembelea jengo jipya la Abiria la Terminal3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali baada ya kumaliza ziara yake kutembelea jengo jipya la Abiria la Terminal3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali baada ya kumaliza ziara yake kutembelea jengo jipya la Abiria la Terminal3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar

Alhaj Dk.Mwinyi ameshiriki katika Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi wakati akiondoka katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika leo kwa kumamilisha Ibada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj.Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj Dkt. Amani Abeid Karume, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomewa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam na Viongozi wa Serikali katika kutikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla na Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mhe. Hafidh Ameir
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali,Balozi Mdogo wa Oman na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, kwa kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuandama kwa mwezi jana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar, kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Eid Fitry, iliyofanyika leo baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.