State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akabidhiwa Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud,(kulia kwa Rais) akiwasilisha Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka jana Oktoba 28,2020,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud,(kulia kwa Rais) akiwasilisha Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka jana Oktoba 28,2020,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji Mstaaf Mhe.Hamid Mahmoud (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mku wa Zanzibar ulifanyika Oktoba,28, 2020.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu aliowateua hivi karibuni.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd, Mikidadi Mbarouk Mzee kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd. Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd,Aboud Hassan Mwinyi kuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,Anayeshuhulikia (Fedha na Mipango),katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd.Issa Mahfoudh Haji kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Nd.Issa Mahfoudh Haji akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Dk.Habiba Hassan Omar akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na Viongozi wa Serikali na Dini wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo.
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatlia hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa SMZ,wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Nd,Mikidadi Mbarouk Mzee akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk. Habiba Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Nd,Aboud Hassan Mwinyi akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango, Anayeshuhulikia(Fedha na Mipango),katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na Viongozi wa Serikali na Dini wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali waliokaa na waliosimama ni Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu baada ya kumaliza kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu leo 12-7-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Mikidadi Mbarouk Mzee, kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Aboud Hassan Mwinyi, kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango Zanzibar Anayeshughulikia (Fedha na Mipango) hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Habiba Hassan Omar, kuwa Katibu Mkuu Ofisi Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Afrika Mashariki kabla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara za SMZ katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, aliowateua hivi karibuni na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu aliowateua hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu wakifuatilia kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni,na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafamilia wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu, walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais Dk.Hussein Mwinyi Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Cheti Maalum cha Hongera kwa nanma ya kazi aliyoifanya kwa muda mfupi tokea kuchaguliwa kwake, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa akikabidhi cheti hicho kwa niaba ya Shehia ya BUBUBU , mara baada ya Mkutano wa Majumuisho ya ziara yeke ya Mkoa wa Mjini Mgharibi, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yeke aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Mgharibi kwa kutembelea miradi ya maendeleo mkutano huo umefanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Mgharibi kwa kutembelea miradi ya maendeleo, mkutano huo umefanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Mkoa wa Mjini Mgharibi katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi aliopokuwa akitoa Hutuba yake katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara aliyoifanya katika kutembelea miradi ya mbali mbali ya maendeleo kwa Mkoa wa Mjini Magharibi ,hafla ya mkutano huo imefanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Mkoa wa Mjini Mgharibi katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi aliyoifanya Mkoa wa Mjini Mgharibi hafla iliyofanyika katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar alipofika katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Mkoa wa Mjini Mgharibi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti cha Shukrani cha Kumpongeza kwa Kazi Nzuri aliyoifanya katika kipindi kifupi katika Uongozi wake, kilichotolewa na Shehia ya Bububu Wilaya ya Magharibi “A “Unguja,akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Taasisi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Viongozi wa Serikali, katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa huo, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Taasisi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein AlI Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa,kuzungumza na Viongozi wa Serikali na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa huo.

Ziara ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi Wilaya Magharibi “B” Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mgharibi Mhe.Idrisa Kitwna Mustafa wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa Matangi ya Maji wa Exim Banki akiwa katika ziara yake Wilaya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magaharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa matangi ya maji wa Exim Banki akiwa katika ziara yake Wilaya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magaharibi.
  • Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Salama ZAWA Dk.Salha Mohamed Kassim (katikati) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ( hayupo pichani) wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa Matangi ya Maji wa Exim Banki akiendelea na Ziara yake katika Wilaya ya Magaharibi ”B” Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Jengo la taasisi ya utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Bahari Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanizibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini Unguja.
  • Jengo la taasisi ya utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Bahari Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanizibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini Unguja.
  • Mbunge wa Jimbo la Kwahani Mhe.Ahmada akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Amani Maalim Mussa Hassan wakati wa Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Solo la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja.
  • Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa Samaki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao leo alipotembelea mradi wa ujenzi wa Solo la Samaki la Malindi Mjini Unguja akiwa katika ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini.
  • Baadhi ya mafundi wa kampuni ya ujenzi wa Soko kubwa la Samaki katika maenneo ya Malindi Wilaya ya Mjini Unguja wakiwa Kazini wakati wa Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko hilo.
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa BNaraza la Mapinduzi Dk.Hussein AliMwinyi akitoa maelekezo kwa Afisa katika Idara ya Uvuvi Nd.Idrissa Mussa (wa pili kushoto) wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini alipofika katika Ujenzi wa Mradi wa Solo la Samaki Malindi.
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein AliMwinyi akitoa maelekezo kwa Afisa Idara ya Uvuvi Nd.Idrissa Mussa (katikati) wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini alipofika katika Ujenzi wa Mradi wa Solo la Samaki Malindi (wa pili kushoto) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe.Abdalla Kombo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara ya Samaki katika eneo la Bwawani Mabulii Wilaya ya Mjini Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,kutembelea utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo.
  • WAFANYABIASHARA katika soko la samaki bandari ya Bwawani Mabuluu Wilaya ya Mjini Unguja wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza nao wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja.

Ziara ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza Wananchi wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B"wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya Wananchi Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B" wakinyanyua mikono kumuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao leo wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi wakati wa uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa kazi kwa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kabla ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Mwananchi wa Shehia ya Welezo Bw. Ameir Ismail Hassan alipopkuwa kielezea kero ya kutopatikana kwa huduma ya Maji Safi na Salama katika Shehia hiyo leo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
  • Mwananchi Khamis Ali Haji aliyetoa malalamiko mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yanayohusiana na Mgogoro wa Adrhi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
  • Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyowasilishwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisikiliza taarifa ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto) alipokuwa akiisoma ndani ya Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kuhusu utekelezaji wa kazi mbali mbali kwa Mkoa wake wakati wa ziara ya iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo ndani ya Mkoa huo
  • Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Wananchi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo