State House Blog

Dua ya kumuombea Rais na Nchi.

  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakiitikia Dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.
  • Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiomba dua wakati Kisomo maaalum cha Kuiombea dua Nchi pamoja na Kumuoimbea Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati), katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar ambapo Viongozi mbali mbali walishiuriki katika Dua hiyo iliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiitikia dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kulia) dua iliyofanyika leo katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria ,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakiitikia Dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar
  • Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea dua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) iliyofanyika leo katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar (wa pili kulia) Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi
  • Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume (kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu wakiitikia dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.
  • Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiomba dua wakati Kisomo maaalum cha Kuiombea dua Nchi pamoja na Kumuoimbea Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati), katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar ambapo Viongozi mbali mbali walishiuriki katika Dua hiyo iliyofanyika
  • Baadhi ya Kinamama waliohudhuria katika Dua maalum ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na kuiombea nchi yetu kuwa na Amani na utulivu iliyofanyika leo katika msikiti wa Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar